-
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani aonyesha wasiwasi wake kuhusiana na hali ya Burundi
May 09, 2016 03:17Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ameonyesha wasiwasi alionao kuhusiana na hali ya mambo nchini Burundi.
-
Polisi ya Burundi yatangaza idadi ya wahanga wa machafuko ya nchi hiyo
May 04, 2016 03:26Machafuko nchini Burundi yaliyodumu kwa mwaka mzima sasa yamepelekea watu 451 kuuawa.
-
Indhari ya Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR kuhusiana na hali ya Burundi
May 03, 2016 08:00Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limetoa ripoti na kutangaza kuwa, katika hali ambayo umepita mwaka mmoja tangu mgogoro wa Burundi ulipoibuka, hali ya mambo nchini humo ingali si shwari na kwamba, wananchi wa nchi hiyo wanaendelea kukimbilia katika nchi jirani.
-
Kikao cha Arusha kwa ajili ya amani ya Burundi chaahirishwa
May 01, 2016 23:29Mazungumzo ya amani ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini Burundi ambayo yalitazamiwa kuanza leo Jumatatu mjini Arusha nchini Tanzania yameahirishwa.
-
Watu wenye silaha wafanya hujuma mpya jijini Bujumbura Burundi
Apr 29, 2016 11:42Watu wenye silaha wamefanya shambulizi huko Bujumbura, mji mkuu wa Burundi, na kuua na kujeruhi watu kadhaa.
-
Yumkini idadi ya waliouawa Burundi imepindukia 1,000
Apr 28, 2016 10:46Umoja wa Mataifa umetaarifiwa kuwa idadi ya watu waliouawa katika mgogoro wa kisiasa nchini Burundi yumkini imepindukia watu 1,000.
-
UN, lazima jinai za machafuko ya nchini Burundi zichunguzwe
Apr 28, 2016 03:02Umoja wa Mataifa umetaka kuanza kuchunguzwa vitendo vya mauaji nchini Burundi.
-
Machafuko ya Burundi yaitia wasiwasi jamii ya kimataifa
Apr 27, 2016 03:25Machafuko yanayoendelea kushuhudiwa katika nchi ya Burundi yameitumbukiza nchi hiyo katika mgogoro mkubwa. Mauaji ya Waziri wa Haki za Binadamu, Martin Nivyabandi na mkewe na yale ya hivi majuzi ya Athanase Kararuza aliyekuwa mshauri wa masuala ya kijeshi wa Rais wa Burundi, yameizamisha zaidi nchini hiyo katika lindi kubwa la machafuko na ukosefu wa amani.
-
Faili la kuchunguza hali ya Burundi lafunguliwa katika mahakama ya ICC
Apr 25, 2016 10:36Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imefungua faili maalumu la kufuatilia hali ya kisiasa na kiusalama ya Burundi.
-
UNHCR: Wananchi wa Burundi wanazidi kuikimbia nchi yao
Apr 22, 2016 23:51Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi (UNHCR), limetangaza kuwa idadi ya wakimbizi wa Burundi wanaoomba hifadhi nchi jirani inaongezeka na sasa imefikia 260,000.