-
Waislamu Canada wataka kukomeshwa chuki dhidi ya Uislamu
Jan 29, 2026 06:36Viongozi wa Waislamu nchini Canada wametoa wito wa kukomeshwa kwa matamshi ya chuki na uenezaji wa hofu dhidi ya Uislamu na Waislamu, huku nchi hiyo ikijiandaa kuadhimisha miaka tisa tangu kutokea shambulio baya dhidi ya msikiti katika mkoa wa Quebec.
-
Trump aitishia Canada kwa ushuru wa 100%, kisa biashara na China
Jan 25, 2026 06:57Rais wa Marekani, Donald Trump ametishia kuitoza Canada ushuru wa asilimia 100 iwapo Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney atatekeleza makubaliano ya kibiashara na China.
-
Iran yajibu mapigo, yalitambua jeshi la majini la Canada kama shirika la kigaidi
Dec 31, 2025 02:59Iran imetangaza kulitambua Jeshi la Wanamaji la Canada kama shirika la kigaidi, ikijibu uamuzi wa huko nyuma wa Ottawa wa kuliorodhesha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) kama kundi la kigaidi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ilisema hayo jana Jumanne.
-
Canada kuitambua rasmi nchi ya Palestina mwezi Septemba mwaka huu
Jul 31, 2025 12:21Markk Carney Waziri Mkuu wa Canada ametangaza kuwa nchi hiyo imepanga kuitambua rasmi nchi ya Palestina katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwezi Septemba mwaka huu.
-
Kwa nini watu wengi duniani wana mtazamo hasi kuhusu Marekani?
Jul 10, 2025 02:49Kwa mujibu wa uchunguzi wa maoni uliochapishwa na Kituo cha Utafiti cha Pew, watu wa Canada na Mexico, majirani wawili wa karibu wa Marekani, wanaitambua nchi hiyo kuwa tishio kubwa zaidi kwao.
-
Mark Carney: Canada haitasahau usaliti wa Marekani/ Mahusiano ya zamani yamekwisha
Apr 29, 2025 12:01Waziri Mkuu mteule wa Canada, Mark Carney ametoa ujumbe mzito kwa Marekani, akisema kwamba Ottawa haipaswi "kusahau usaliti wa Washington ambao umeathiri vibaya uhusiano wa kibiashara wa nchi hizo mbili.
-
Wacanada waanza "kumtia adabu" Trump, bidhaa za Marekani zasusiwa Canada
Apr 02, 2025 02:31Kuongezeka himaya na uungaji mkono wa Wacanada kwa bidhaa za nyumbani kumeibua wasiwasi kwa makampuni ya bidhaa mbalimbali ya Marekani.
-
Marekani, Mshirika Asiyeaminika
Mar 31, 2025 02:39Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney, ambaye amemrithi Justin Trudeau, amesisitiza kwamba atajibu hatua za Marekani dhidi ya nchi hiyo katika nyanja za kiuchumi na kibiashara, na amekiri kwamba: "Marekani si mshirika wa kuaminika tena."
-
Trump asaini amri ya kubadilisha mfumo wa uchaguzi na upigaji kura Marekani, apingwa vikali
Mar 27, 2025 05:56Rais wa Marekani Donald Trump amesaini amri ya kiutekelezaji ya kubadilisha mfumo wa uchaguzi na upigaji kura wa nchi hiyo, inayojumuisha sharti la uthibitisho wa uraia kwa usajili wa wapiga kura.
-
Canada kuangalia upya mkataba wa kununua ndege za kivita za Marekani
Mar 16, 2025 06:04Waziri Mkuu mpya wa Canada, Mark Carney ametoa amri ya kupitiwa upya mkataba wa nchi hiyo na kampuni ya silaha ya Marekani unaohusiana na kuiuzia Canada ndege za kivita za F-35.