Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Canada

  • Kan'ani: Waungaji mkono wa Israel hawana haki ya kuinasahi Iran kuhusu haki za binadamu

    Kan'ani: Waungaji mkono wa Israel hawana haki ya kuinasahi Iran kuhusu haki za binadamu

    Nov 16, 2023 23:50

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelitaja azimio dhidi ya Iran kuhusu haki za binadamu lililopasishwa katika kamati ya tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuwa ni kinyume cha sheria na lilsilokubalika hata kidogo.

  • Ijumaa tarehe 8 Septemba 2023

    Ijumaa tarehe 8 Septemba 2023

    Sep 09, 2023 04:40

    Leo ni Ijumaa tarehe 22 Safar 1445 Hijria imayosadifiana na tarehe 8 Septemba 2023.

  • Jumamosi, Mosi Julai, 2023

    Jumamosi, Mosi Julai, 2023

    Jul 01, 2023 02:25

    Leo ni Jumamosi tarehe 12 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1444 Hijria sawa na tarehe Mosi Julai 2023 Miladia.

  • Kulalamikia vikali Waislamu Kanada sheria mpya ya marufuku ya kusali shuleni

    Kulalamikia vikali Waislamu Kanada sheria mpya ya marufuku ya kusali shuleni

    May 22, 2023 22:52

    Waislamu nchini Kanada wamelalamikia vikali marufuku ya kusali iliyowekwa katika shule za serikali kwenye jimbo la Quebec.

  • Waislamu Canada walalamikia marufuku ya kusali iliyowekwa katika skuli za serikali

    Waislamu Canada walalamikia marufuku ya kusali iliyowekwa katika skuli za serikali

    May 21, 2023 03:04

    Waislamu nchini Canada wamelalamikia marufuku ya kusali iliyowekwa katika skuli za serikali kwenye jimbo la Quebec.

  • Ugunduzi wa makaburi 40 zaidi yasiyo na alama; ishara ya unyama dhidi ya wenyeji wa Canada.

    Ugunduzi wa makaburi 40 zaidi yasiyo na alama; ishara ya unyama dhidi ya wenyeji wa Canada.

    Apr 24, 2023 09:47

    Watafiti wametangaza kwamba wamegundua makaburi 40 yasiyo na alama katika shule ya zamani ya Wamishonari wa Kikatoliki huko British Columbia, nchini Canada.

  • Waislamu nchini Canada waendelea kukabiliwa na vitendo vya ubaguzi

    Waislamu nchini Canada waendelea kukabiliwa na vitendo vya ubaguzi

    Apr 17, 2023 03:00

    Vitendo vya ubaguzi dhidi ya jamii ya Waislamu nchini Canada vimeendelea kushuhudiwa licha ya miito mbalimbali ya kukomesha ubaguzi huo.

  • Kiongozi wa Waislamu Canada: Waislamu kote nchini wana sababu ya kuwa na wasiwasi baada ya hujuma ya msikiti wa Ontario

    Kiongozi wa Waislamu Canada: Waislamu kote nchini wana sababu ya kuwa na wasiwasi baada ya hujuma ya msikiti wa Ontario

    Apr 11, 2023 22:42

    Kiongozi wa Jumuiya ya Waislamu nchini Canada ameeleza wasiwasi wake kuhusu kushamiri vetendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini humo baada ya mwanamume mmoja kuvamia msikiti wa jimbo la Ontario Alhamisi iliyopita, kutoa vitisho sambamba na kujaribu kuwavamia waumini nje ya msikiti huo.

  • Polisi ya Canada yamfungulia mashtaka ya uhalifu wa chuki aliyeshambulia msikiti, kuchana Qur'ani

    Polisi ya Canada yamfungulia mashtaka ya uhalifu wa chuki aliyeshambulia msikiti, kuchana Qur'ani

    Apr 10, 2023 04:25

    Polisi ya Canada imetangaza kuwa imemkamata na kumfungulia mashtaka mwanamume mmoja kwa kile kilichoelezwa kuwa ni "tukio la chuki" katika msikiti mmoja wa jimbo la Ontario Alhamisi iliyopita, baada ya kuhujumu Waislamu, kuwatishia na kuwatusi.

  • Kanada imezilipa fidia jamii za kiasili kwa sababu haikuwa na budi ila kufanya hivyo

    Kanada imezilipa fidia jamii za kiasili kwa sababu haikuwa na budi ila kufanya hivyo

    Jan 24, 2023 22:58

    Serikali ya Kanada imeafiki kulipa fidia ya dola bilioni 2.1 kwa waathiriwa wa jamii za kiasili ambao walikabiliwa na mateso katika shule za bweni kwa takriban karne moja.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS