Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • Marekani yachukua mateka katika vita vyake vya kibiashara na China

    Marekani yachukua mateka katika vita vyake vya kibiashara na China

    Dec 12, 2018 22:58

    Baada ya Donald Trump kuingia madarakani kama rais wa Marekani Januari mwaka 2017, amekuwa akifuatilia sera hasimu na zenye utata kuhusu China na hivyo kuwaibulia wakuu wa China changamoto kadhaa. Moja ya sera ambazo Trump ametekeleza ni kuongeza ushuru wa forodha kwa bidhaa kutoka China na kwa njia hiyo kutangaza rasmi vita vya kibiashara dhidi ya China.

  • China yarudisha mapigo, yapiga marufuku simu za iPhone

    China yarudisha mapigo, yapiga marufuku simu za iPhone

    Dec 12, 2018 09:02

    Kampuni ya Apple ya Marekani imepata pigo kubwa baada ya mahakama moja ya China kupiga marufuku uuzaji wa simu za iPhone nchini Uchina.

  • Askari wa China watumwa Sudan kulinda amani

    Askari wa China watumwa Sudan kulinda amani

    Dec 11, 2018 12:04

    Askari 100 wa kulinda amani wa China wameondoka Jumanne ya leo Beijing kuelekea Darfur, nchini Sudan kwa ajili ya majukumu ya kulinda amani kwa kipindi cha mwaka mmoja katika kikosi cha Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika (UNAMID).

  • China yaionya Canada kuhusu kumpeleka Marekani mkuu wa Huawei

    China yaionya Canada kuhusu kumpeleka Marekani mkuu wa Huawei

    Dec 09, 2018 03:51

    Serikali ya China imetoa onyo kali na kuitaka Canada imuachie huru mara moja mkuu wa shirika kubwa la mawasiliano la Huawei na isithubutu kumkabidhi kwa wakuu wa mahakama za Marekani.

  • Jitihada za Marekani za kuzuia maendeleo ya teknolojia ya China

    Jitihada za Marekani za kuzuia maendeleo ya teknolojia ya China

    Dec 08, 2018 23:22

    Tangu alipochukua madaraka, Rais Donald Trump wa Marekani ameisababishia China changamoto mbalimbali. China inahesabiwa kuwa nguvu kubwa zaidi ya pili ya kiuchumi duniani.

  • Mkutano wa maspika wa mabunge ya nchi sita wamalizika mjini Tehran kwa kutoa taarifa

    Mkutano wa maspika wa mabunge ya nchi sita wamalizika mjini Tehran kwa kutoa taarifa

    Dec 08, 2018 12:07

    Maspika wa mabunge ya nchi sita za Iran, Russia, Uturuki, China, Pakistan na Afghanistan umemalizika leo hapa mjini Tehran kwa taarifa ya pamoja ya kuimarisha uhusiano katika kupambana na ugaidi na kuongeza ushirikiano wao wa kieneo.

  • Makumi wauawa katika mripuko kwenye kiwanda cha kemikali China

    Makumi wauawa katika mripuko kwenye kiwanda cha kemikali China

    Nov 28, 2018 04:10

    Kwa akali watu 22 wameripotiwa kupoteza maisha baada ya kutokea mripuko karibu na kiwanda cha kemikali katika mji wa Zhangjiakou, mkoani Hebei kaskazini mwa China.

  • Marekani yatishia kuanzisha Vita Baridi dhidi ya China

    Marekani yatishia kuanzisha Vita Baridi dhidi ya China

    Nov 15, 2018 03:40

    Wakati mivutano ya kibiashara kati ya Marekani na China inazidi kupamba moto, Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence ameoinya China kuhusu uwezekano wa kutokea Vita Baridi baina ya pande mbili.

  • Mpango wa China na Russia wa kukabiliana na siasa za upande mmoja za Marekani

    Mpango wa China na Russia wa kukabiliana na siasa za upande mmoja za Marekani

    Nov 09, 2018 23:09

    Mawaziri Wakuu wa China na Russia wamesisitiza juu ya azma ya nchi mbili ya kukabiliana na siasa za upande mmoja za Marekani katika ngazi za kimataifa.

  • Mawaziri Wakuu wa China na Russia waazimia kukabiliana na siasa za upande mmoja za Marekani

    Mawaziri Wakuu wa China na Russia waazimia kukabiliana na siasa za upande mmoja za Marekani

    Nov 09, 2018 10:54

    Mawaziri Wakuu wa China na Russia wameazimia kukabiliana na siasa za upande mmoja za Marekani duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS