Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • Maneva ya siku mbili ya kijeshi kati ya Russia na China katika maji ya bahari ya Baltic

    Maneva ya siku mbili ya kijeshi kati ya Russia na China katika maji ya bahari ya Baltic

    Jul 27, 2017 03:01

    Maneva ya kijeshi ya baharini kati ya Russia na China yalianza siku ya Jumanne ya tarehe 25 mwezi huu katika maji ya bahari ya Baltic.

  • Waziri wa Ulinzi India: China na Pakistan zinajiandaa kutushambulia

    Waziri wa Ulinzi India: China na Pakistan zinajiandaa kutushambulia

    Jul 21, 2017 03:22

    Waziri wa zamani wa Ulinzi nchini India amesema kuwa, serikali ya Pakistan na China ambazo ni washindani wakubwa na hatari sana wa New Delhi, zinajiandaa kufanya shambulizi dhidi ya nchi hiyo.

  • Jumatano, Julai 19, 2017

    Jumatano, Julai 19, 2017

    Jul 18, 2017 21:56

    Leo ni Jumatano tarehe 24 Mfunguo Mosi Shawwal 1438 Hijria sawa na Julai 19, 2017 Milaadia.

  • China yatuma meli za kivita katika kituo chake cha kijeshi nchini Djibouti

    China yatuma meli za kivita katika kituo chake cha kijeshi nchini Djibouti

    Jul 12, 2017 22:04

    China imetuma meli za kivita katika kituo chake cha kwanza cha kijeshi nje ya nchi ambacho kiko nchini Djibouti katika eneo la Pembe ya Afrika.

  • China na Russia zapinga utumiwaji njia za kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini

    China na Russia zapinga utumiwaji njia za kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini

    Jul 05, 2017 23:52

    China na Russia zimetangaza kupinga utumiaji njia za kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini

  • China yalaani chokochoko za meli za kivita za Marekani

    China yalaani chokochoko za meli za kivita za Marekani

    Jul 03, 2017 02:35

    China imelaani vikali hatua ya hivi karribuni ya meli ya kivita ya Marekani kukaribia mipaka yake ya majini katika kisiwa kimoja kinachozozaniwa katika Bahari ya China Kusini na kuitaja hatua hiyo kuwa ya kichochezi.

  • Watu 140 wafukiwa katika maporomoko ya udongo China

    Watu 140 wafukiwa katika maporomoko ya udongo China

    Jun 24, 2017 09:47

    Serikali ya China imetangaza habari ya kufukiwa watu 140 katika maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kali katika maeneo ya kusini magharibi mwa nchi hiyo.

  • Maneva ya kijeshi ya China ya kudhihirisha nguvu yake mbele ya Marekani na waitifaki wake

    Maneva ya kijeshi ya China ya kudhihirisha nguvu yake mbele ya Marekani na waitifaki wake

    Jun 10, 2017 22:59

    Katika hali ambayo Marekani imekuwa ikituma mtawalia manowari zake za kivita katika maji yanayoizunguka China na Korea ya Kaskazini lengo likiwa ni kuziwekea mashinikizo ya kijeshi nchi mbili hizo, serikali ya Beijing nayo imeamua kuzidisha doria zake katika maeneo ya kandokando mwa maji ya Hong Kong ili kudhihirisha nguvu iliyonayo mkabala na vitendo vya mabavu na chokochoko za Marekani.

  • Serikali ya China yawalazimisha Waislamu kubadili majina ya watoto wao kwa madai ya kupambana na misimamo mikali

    Serikali ya China yawalazimisha Waislamu kubadili majina ya watoto wao kwa madai ya kupambana na misimamo mikali

    Jun 04, 2017 10:33

    Kutokana na mashinikizo ya serikali ya eneo la Xinjiang nchini China kuwalenga Waislamu wa jimbo hilo la magharibi mwa nchi hiyo, wazazi Waislamu wanalazimika kubadilisha majina ya watoto wao walio na umri wa chini ya miaka 16 na kuwaita majina mengine yasiyo ya kidini.

  • China yaipa sharti Marekani kumuuzulu kamanda wake, mkabala na kuishinikiza Pyongyang

    China yaipa sharti Marekani kumuuzulu kamanda wake, mkabala na kuishinikiza Pyongyang

    May 08, 2017 10:41

    China imempa sharti Rais Donald Trump wa Marekani la kumuuzulu kamanda wa vikosi vya nchi hiyo vilivyoko Korea Kusini mkabala na Beijing kuishinikiza Korea Kaskazini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS