-
Wiki ya Umoja: Uislamu unaoshajiisha Umoja; dharura ya leo ya ulimwengu wa Kiislamu
Nov 20, 2018 08:41Tuko katika siku tukufu za Wiki ya Umoja wa Kiislamu, ambayo ni wiki ya kuadhimishwa uzawa na maulidi ya Mtume Mtukufu Muhammad (saw).
-
Ripoti: Kiwango cha chuki dhidi ya Uislamu Uingereza kimevunja rekodi
Jul 22, 2018 09:38Ripoti mpya ya asasi isiyokuwa ya kiserikali imesema uhalifu unaotokana na chuki dhidi ya Waislamu na matukufu yao umeongezeka kwa kiwango cha kutia wasiwasi nchini Uingereza.
-
Uholanzi kufanya mashindano ya vibonzo vya kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW
Jun 13, 2018 02:53Kiongozi wa chama chenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia nchini Uholanzi amepewa kibali cha kuandaa mashindano ya kuwasilisha vibonzo vya kumvunjia heshimu Mtume Muhammad SAW.
-
Msikiti washambuliwa kwa moto na magaidi wenye chuki ya Uislamu nchini Uingereza
Jun 08, 2018 20:52Katika hatua ya chuki dhidi ya Uislamu, msikiti mmoja wa eneo la Beeston mjini Leeds nchini Uingereza umeshambuliwa kwa moto na watu wasiojulikana.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 37 + Sauti
Jun 03, 2018 10:53Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 37 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 36 na sauti
Jun 03, 2018 10:41Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 36 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Ripoti: Waislamu nchini Marekani wanafungwa vifungo virefu kuliko wengine
Apr 06, 2018 23:22Utafiti mpya umebainisha kuwa, watuhumiwa wa uhalifu Waislamu au wenye majina ya Kiislamu nchini Marekani wanahukumiwa vifungo virefu zaidi na habari hizo kuvaliwa njuga na vyombo vya habari, kuliko watuhumiwa wasiokuwa Waislamu.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 33 na sauti
Apr 03, 2018 09:25Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 33 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 32 na sauti
Apr 03, 2018 09:09Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 32 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 31 na sauti
Apr 03, 2018 08:45Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 31 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.