-
Cuba: Marekani inaishinikiza Venezuela ili kuitwaa ardhi ya nchi hiyo
Nov 26, 2025 07:11Bruno Rodriguez Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba amesema kuwa Marekani inatumia uzushi kuhalalisha operesheni zake za kijeshi dhidi ya Venezuela, kwa lengo la kuiangusha serikali ya nchi hiyo na kudhibiti rasilimali za mafuta za nchi hiyo.
-
Sera za vikwazo dhidi ya Cuba: Mfano wa mbinu ya mabavu ya Washington katika kuamiliana na nchi nyingine
Nov 23, 2025 14:16Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa vikwazo vya Marekani vimeifanya hali ya kibinadamu nchini Cuba kuwa mbaya sana na ametaka kuondolewa haraka vikwazo hivyo.
-
Kwa nini Iran inataka kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya Cuba bila masharti yoyote?
Oct 31, 2025 12:45Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo vyote dhidi ya Cuba bila masharti yoyote.
-
Waziri Mkuu wa Cuba alaani vita vya Gaza na kunyimwa chakula wa watu wa eneo hilo
Aug 06, 2025 06:53Waziri Mkuu wa Cuba ametuma jumbe kadhaa katika mitandao ya kijamii na kulaani sera za utawala wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Kipalestina wa Ukanda wa Gaza za kuzuia kutolewa bidhaa za chakula na kuwasababisha njaa wakazi wa eneo hilo.
-
Jumanne, tarehe 20 Mei, 2025
May 20, 2025 03:49leo ni Jumanne tarehe 22 Dhulqaada 1446 Hijria sawa na Mei 20 mwaka 2025.
-
Wataalamu wa Vatican: Papa ajaye aliunganishe Kanisa kutokana na mpasuko mkubwa uliopo
May 06, 2025 06:15Wakati Kanisa Katoliki linajiandaa kwa mkutano wa kumchagua Papa mpya utakaoanza kesho Jumatano, wachambuzi wa Vatican wanasema, makadinali wako chini ya mashinikizo ya kumchagua papa mwenye uwezo wa kuziba mgawanyiko unaoendelea kukua kati ya pande mbili kuu za wanamageuzi na wahafidhina ndani ya Kanisa hilo.
-
Jumanne, Aprili 22, 2025
Apr 22, 2025 02:31Leo ni Jumanne tarehe 23 Mfunguo Mosi Shawwal 1446 Hijria sawa na tarehe 22 Aprili 2025 Milaadia.
-
Jumatatu, 14 Aprili, 2025
Apr 14, 2025 11:06Leo ni Jumatatu tarehe 15 Shawwal 1446 Hijiria, sawa na tarehe 14 Aprili 2025.
-
Cuba: Uhamiaji umekuwa biashara kwa Marekani
Mar 28, 2025 02:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba amepinga viza ya kadi ya dhahabu ya kupewa makazi mkabawa wa dola milioni tano ya Marekani, na kuituhumu serikali ya Trump kwa kutumia suala la uhamiaji kama biashara, kwa kuuza nyumba na kuwafukuza wahamiaji haramu.
-
Cuba: Gaza ni mali ya wananchi wa Palestina
Feb 08, 2025 11:48Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Cuba imetangaza kuwa, inaunga mkono kikamilifu Palestina na kwamba, Gaza ni mali ya wananchhi wa Palestina.