-
Jumanne, Aprili 22, 2025
Apr 21, 2025 23:01Leo ni Jumanne tarehe 23 Mfunguo Mosi Shawwal 1446 Hijria sawa na tarehe 22 Aprili 2025 Milaadia.
-
Jumatatu, 14 Aprili, 2025
Apr 14, 2025 07:36Leo ni Jumatatu tarehe 15 Shawwal 1446 Hijiria, sawa na tarehe 14 Aprili 2025.
-
Cuba: Uhamiaji umekuwa biashara kwa Marekani
Mar 27, 2025 22:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba amepinga viza ya kadi ya dhahabu ya kupewa makazi mkabawa wa dola milioni tano ya Marekani, na kuituhumu serikali ya Trump kwa kutumia suala la uhamiaji kama biashara, kwa kuuza nyumba na kuwafukuza wahamiaji haramu.
-
Cuba: Gaza ni mali ya wananchi wa Palestina
Feb 08, 2025 08:18Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Cuba imetangaza kuwa, inaunga mkono kikamilifu Palestina na kwamba, Gaza ni mali ya wananchhi wa Palestina.
-
Rais wa Cuba: Muqawama wa taifa la Palestina ni mapambano bora zaidi duniani
Feb 02, 2025 23:01Rais Wa cuba amesema kuwa, muqawama wa taifa la Palestina ni mapambano bora zaidi duniani.
-
Iran: Kuzishutumu nchi huru bila ya sababu ni kuendeleza uvunjaji wa sheria
Jan 24, 2025 00:07Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, tuhuma ya Marekani dhidi ya Cuba na kuliingiza tena jina la nchi hiyo katika orodha ya mataifa yanayodaiwa kuunga mkono ugaidi ni hatua ya kipuuzi na isiyokubalika kabisa.
-
Cuba yaungana na kesi ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki
Jan 15, 2025 07:25Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imetangaza kuwa Cuba imewasilisha ombi la kujiunga na kesi ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo katika Ukanda wa Gaza.
-
Besigye kushtakiwa katika Mahakama ya Kijeshi Uganda kwa kosa la uhaini lenye hukumu ya kifo
Jan 14, 2025 23:16Mahakama ya Kijeshi ya Uganda imetangaza kuwa, kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini humo Daktari Kizza Besigye atafikishwa mahakamani kujibu shtaka zito la uhaini, ambalo linamuongezea matatizo ya kisheria mwanasiasa huyo kuelekea uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika 2026.
-
Cuba: Tuko pamoja na wananchi na serikali ya Syria
Dec 02, 2024 09:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba ametangaza kuwa nchi hiyo inatangaza mshikamano wake na iko pamoja na wananchi na serikali ya Syria kufuatia kushtadi hujuma za karibuni za makundi ya kigaidi katika ardhi ya Syria.
-
Abbas Araghchi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono Cuba dhidi ya vikwazo vya Marekani
Sep 22, 2024 03:50Abbas Araghchi, Waziri Mambo ya Nje wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ikiwa mmoja wa wahanga wakuu wa vikwazo vya Marekani, inaelewa kikamilifu hali ya watu wa Cuba, hivyo inaiunga mkono nchi hiyo dhidi ya vikwazo vya nchi hiyo ya Magharibi.