-
Wananchi wa Cuba wataka kusimamishwa mauaji ya kimbari Gaza
Mar 02, 2024 11:50Wananchi wa Cuba wameungana na mamilioni ya wengine katika maandamano ya kulaani jinai za Israel dhidi ya Wapalestina, sambamba na kuonyesha uungaji mkono kwa Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, ambao wanakabiliwa na vita vya mauaji ya kimbari vya utawala dhalimu wa Israel.
-
Cuba yalaani sera za mauaji ya kimbari za utawala haramu wa Israel
Feb 23, 2024 11:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Cuba amelaani kuendelea uvamizi na mauaji ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina katika Ukanda wa Gaza na kusema: Israel imepitisha "sera ya kuwaangamiza" wananchi wa Palestina.
-
Umoja wa Mataifa: Idadi ya raia waliouawa huko Gaza haijawahi kushuhudiwa
Feb 16, 2024 02:43Mkuu wa Kitengo cha Asia Magharibi katika Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema: Idadi ya raia na waandishi wa habari waliouawa huko Gaza haina mfano.
-
Cuba yaunga mkono kesi iliyofunguliwa na Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni
Jan 18, 2024 09:31Bruno Rodríguez Parrilla Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba amesema kuwa Havana inaunga mkono mashtaka yaliyowasilishwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kuhusu mauaji ya kimbari yaliyofanywa na utawala wa Israel dhidi ya watu wa Gaza.
-
Jumatatu, tarehe Mosi Januari, 2024
Jan 01, 2024 02:25Leo ni Jumatatu tarehe 18 Jamadithani 1445 Hijria sawa na tarehe Mosi Januari 2024.
-
Rais wa Cuba: Mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel Gaza ni fedheha kubwa
Dec 28, 2023 04:22Rais Miguel Diaz-Canel wa Cuba amelaani vikali mauaji ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kueleza kwamba, mauaji hayo ya kimbari ni kashfa na fedheha kwa ubinadamu.
-
Safari ya Rais wa Cuba mjini Tehran
Dec 04, 2023 02:59Rais wa Jamhuri ya Cuba ambaye anangoza ujumbe wa ngazi ya juu wa kisiasa na kiuchumi wa nchi yake amefanya safari mjini Tehran kwa mwaliko rasmi wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Makumi ya maelfu ya Wacuba waandamana kuwaunga mkono watu wa Palestina
Nov 24, 2023 06:55Makumi ya maelfu ya wananchi wa Cuba wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Havana kuwaunga mkono wananchi wa Palestina.
-
Balozi wa Cuba: Israel ndiye gaidi halisi
Nov 04, 2023 03:02Balozi wa Cuba mjini Tehran sanjari na kulaani jinai za Israel dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, ameutaja utawala huo wa Kizayuni wa Israel kuwa utawala wa kigaidi.
-
Castro asisitiza kuwa zama za maamuzi ya upande mmoja duniani zimeyoyoma na kumalizika
Jun 16, 2023 11:44Rais wa zamani wa Cuba amesisitiza kwamba zama za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja duniani zimeyoyoma na kwamba sasa dunia inaelekea kwenye mfumo wa kambi kadhaa.