-
Raisi: Kuimarika ushirikiano wa Iran na Cuba kunawahamakisha mabeberu
Jun 16, 2023 03:01Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema hatua ya kuendelea kuimarika na kupanuka ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Cuba inayahamakisha madola ya kibeberu na ya kiistikbari duniani.
-
Rais wa Iran kutembelea Venezuela, Nicaragua na Cuba
Jun 07, 2023 10:24Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi karibuni atafanya ziara katika nchi tatu za Venezuela, Nicaragua na Cuba kwa lengo la kuimarisha uhusiano na nchi rafiki na kupanua kiwango cha ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa na kisayansi na nchi hizo.
-
Jumamosi, 20 Mei, 2023
May 20, 2023 02:14Leo ni Jumamosi tarehe 29 Mfunguo Mosi Shawwal 1444 Hijria mwafaka na tarehe 20 Mei, 2023 Miladiia.
-
Ijumaa tarehe 20 Mei mwaka 2022
May 20, 2022 01:18leo ni Ijumaa tarehe 18 Mfunguo Mosi Shawwal 1443 Hijria sawa na Mei 20 mwaka 2022.
-
Ijumaa tarehe 22 Aprili 2022
Apr 22, 2022 01:54Leo ni Ijumaa tarehe 20 Ramadhani 1443 Hijria sawa na Aperili 22 mwaka 2022.
-
Jumamosi, Mosi Januari, 2022
Jan 01, 2022 02:54Leo ni Jumamosi tarehe 27 Mfunguo Nane Jamadil-Awwal 1443 Hijria mwafaka na tarehe Mosi Januari 2022 Miladia.
-
Alkhamisi tarehe 20 Mei mwaka 2021
May 20, 2021 05:45Leo ni Alkhamisi tarehe 8 Shawwal 1442 Hijria sawa na tarehe 20 Mei mwaka 2021.
-
Bunge la Cuba lautaka utawala wa Kizayuni uache kuwashambulia Wapalestina
May 16, 2021 12:07Kamisheni ya Uhusiano wa Kimataifa ya Bunge la Cuba imelaani jinai na mashambulio ya kikatili yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wasio na hatia na kuitaka Israel ikomeshe ukatili wake huo.
-
Alkhamisi, 22 Aprili, 2021
Apr 22, 2021 02:50Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Ramadhani 1442 Hijria sawa na Aprili 22 mwaka 2021.
-
Iran yapokea shehena za chanjo za Corona kutoka India na Cuba
Mar 12, 2021 02:42Shehena ya kwanza ya makumi ya maelfu ya dozi za chanjo ya kubaliana na ugonjwa wa Covid-19 kutoka India iliwasili hapa nchini Iran jana Alkhamisi.