-
Alkhamisi tarehe 20 Mei mwaka 2021
May 20, 2021 01:15Leo ni Alkhamisi tarehe 8 Shawwal 1442 Hijria sawa na tarehe 20 Mei mwaka 2021.
-
Bunge la Cuba lautaka utawala wa Kizayuni uache kuwashambulia Wapalestina
May 16, 2021 07:37Kamisheni ya Uhusiano wa Kimataifa ya Bunge la Cuba imelaani jinai na mashambulio ya kikatili yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wasio na hatia na kuitaka Israel ikomeshe ukatili wake huo.
-
Alkhamisi, 22 Aprili, 2021
Apr 21, 2021 22:20Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Ramadhani 1442 Hijria sawa na Aprili 22 mwaka 2021.
-
Iran yapokea shehena za chanjo za Corona kutoka India na Cuba
Mar 11, 2021 23:12Shehena ya kwanza ya makumi ya maelfu ya dozi za chanjo ya kubaliana na ugonjwa wa Covid-19 kutoka India iliwasili hapa nchini Iran jana Alkhamisi.
-
Umoja wa Afrika waitaka Marekani ihitimishe vikwazo na mzingiro dhidi ya Cuba
Feb 09, 2021 02:57Umoja wa Afrika umetaka kuhitimishwa vikwazo na mzingiro wa kiuchumi, kibiashara na kifedha iliowekewa Cuba kupitia amri ya utekelezaji iliyosainiwa mwaka 1962 na aliyekuwa rais wa wakati huo wa Marekani John F. Kennedy.
-
Hatua mpya ya serikali ya Trump dhidi ya Cuba
Jan 13, 2021 07:00Ikiwa ni katika kudumisha siasa zake za uhasama dhidi ya serikali za mrengo wa kushoto katika eneo la Amerika ya Latini, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine imelirejesha jina la Cuba katika orodha ya nchi zinazodaiwa kuunga mkono ugaidi.
-
Iran yailaani Marekani kwa kuiweka Cuba katika orodha ya 'waungaji mkono ugaidi'
Jan 13, 2021 04:42Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya Marekani kuiweka Cuba katika orodha ya nchi ambazo eti zinaunga mkono ugaidi. Iran aidha imesema inafungamana na Cuba katika mapamano yake dhidi ya madola ya kibeberu duniani.
-
Chanjo ya corona ya Iran na Cuba yapasi majaribio ya awali ya mwanadamu
Jan 11, 2021 04:36Mshauri wa Waziri wa Afya wa Iran ametangaza habari ya kufanyika kwa mafanikio hatua ya awali ya majaribio ya mwanadamu ya chanjo ya COVID-19 iliyotengenezwa na Iran kwa kushirikiana na Cuba.
-
Ijumaa, 01 Januari, 2021
Dec 31, 2020 23:00Leo ni Ijumaa tarehe 17 Mfunguo Nane Jamadil-Awwal 1442 Hijria sawa na tarehe Mosi Januari mwaka 2021 Miladia
-
Jumatano, Pili Disemba, 2020
Dec 01, 2020 22:54Leo ni Jumatano tarehe 16 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1442 Hijria sawa na tarehe Pili Disemba 2020 Miladia.