• Jumatatu tarehe 2 Disemba 2019

    Jumatatu tarehe 2 Disemba 2019

    Dec 02, 2019 02:36

    Leo ni Jumatatu tarehe 5 Rabiuthani 1441 Hijria sawa na tarehe 2 Disemba 2019.

  • Vikwazo vya Marekani; uchokozi wa wazi dhidi ya nchi nyingine

    Vikwazo vya Marekani; uchokozi wa wazi dhidi ya nchi nyingine

    Oct 06, 2019 11:12

    Mashinikizo ya Marekani dhidi ya Cuba na Venezuela yanazidi kushtadi, huku nchi hizo zikiwa zinaendelea kushikamana na malengo yao na kusisitizia juu ya kuimarishwa ushikamano wao.

  • Duru mpya ya hujuma za vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi zingine

    Duru mpya ya hujuma za vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi zingine

    Sep 28, 2019 07:59

    Marekani ina rekodi kubwa zaidi ya kutumia aina mbali mbali za vikwazo dhidi ya nchi zingine kwa ajili ya kufikia malengo ya siasa zake za nje. Ushadidishaji vikwazo unaofanywa na Washington katika kipindi cha urais wa Donald Trump umekuwa ukipingwa na kulaaniwa kimataifa. Pamoja na hayo kinachoendelea kushuhudiwa kila uchao ni kutangazwa vikwazo vingine vipya vya Marekani dhidi ya nchi zingine duniani.

  • Safari ya Mogherini mjini Havana; sisitizo la ustawishaji uhusiano na Cuba

    Safari ya Mogherini mjini Havana; sisitizo la ustawishaji uhusiano na Cuba

    Sep 10, 2019 02:35

    Umoja wa Ulaya daima umekuwa ukisisitiza kuhusu kuimarisha uhusiano na Cuba, msimamo ambao unakinzana na sera za Marekani. Katika fremu hiyo Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya Federica Mogherini Jumapili aliwasili Havana, mji mkuu wa Cuba kwa lengo la kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Bruno Eduardo Rodríguez pamoja na maafisa wengine wa ngazi za juu nchini humo.

  • Zarif: Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani walenga watu wa kawaida

    Zarif: Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani walenga watu wa kawaida

    Sep 06, 2019 12:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani dhidi ya nchi huru unalenga kuwadhuru watu wa kawaida."

  • Viongozi wa Venezuela, Cuba wajadili njia za kukabiliana na Marekani

    Viongozi wa Venezuela, Cuba wajadili njia za kukabiliana na Marekani

    Jun 08, 2019 11:51

    Makamo wa Rais wa chama tawala cha Venezuela Diosdado Cabello amekutana na kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Cuba, Raul Castro kwa lengo la kujadili njia za kukabiliana na uhasama wa Marekani dhidi ya nchi zao.

  • Jumatatu, Mei 20, 2019

    Jumatatu, Mei 20, 2019

    May 20, 2019 01:18

    Leo ni Jumatatu tarehe 14 Ramadhani mwaka 1440 Hijria, mwafaka na tarehe 20 Mei mwaka 2019 Miladia.

  • Uingiliaji wa Marekani ni chanzo za vurugu na ukosefu wa usalama katika eneo

    Uingiliaji wa Marekani ni chanzo za vurugu na ukosefu wa usalama katika eneo

    May 14, 2019 04:18

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, amesisitiza kuhusu ulazima wa kusimama kidete kukabiliana na utumiaji mabavu na sera za maamuzi ya upande mmoja za Marekani duniani.

  • Iran yailaani Marekani kwa kutumia njia zilizo kinyume cha sheria kuzishinikiza nchi huru

    Iran yailaani Marekani kwa kutumia njia zilizo kinyume cha sheria kuzishinikiza nchi huru

    May 09, 2019 12:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani uhasama wa Marekani dhidi ya Cuba hasa wa kuondoa marufuku ya muda ya utekelezwaji wa Kipengee cha Tatu cha Sheria Helms-Burton na kusema: "Kwa hatua yake hiyo, Washington kwa mara nyingine imeonyesha kuwa, inatumia kila wenzo ulio kinyume cha sheria kuzishinikiza nchi huru."

  • Alkhamisi, 25 Aprili, 2019

    Alkhamisi, 25 Aprili, 2019

    Apr 25, 2019 02:17

    Leo ni Alkhamisi tarehe 19 Sha'aban 1440 Hijria mwafaka na tarehe 25 Aprili, 2019 Miladia.