- 
        
            
            'Al-Shabaab' yawateka nyara madaktari 2 wa Cuba nchini Kenya
Apr 12, 2019 15:00Watu waliojizatiti kwa silaha wanaosadikiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wamewateka nyara madaktari wawili wa Cuba katika mpaka wa Kenya na Somalia.
 - 
        
            
            Cuba: Miamala ya Marekani dhidi ya Venezuela imetoka kwa Manazi
Mar 14, 2019 14:30Rais Miguel Díaz-Canel wa Cuba amekosoa vikali uingiliaji wa kivamizi wa Marekani nchini Venezuela na kusema kuwa, vitendo hivyo vimetoka kwa Manazi wa Ujerumani.
 - 
        
            
            Amir-Abdollahian: Marekani inataka kuzusha machafuko nchini Venezuela
Feb 26, 2019 02:37Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amelaani hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya Venezuela na kusema kuwa, Washington inataka kuiondoa madarakani serikali halali na kuitumbukiza nchi hiyo katika vurugu na machafuko.
 - 
        
            
            Chama cha Madaktari Kenya: Madaktari wa Cuba hawajafuzu
Jan 06, 2019 08:20Chama cha Madaktari nchini Kenya KMA kimetilia shaka uzoefu na uwezo wa kitaaluma wa madaktari wa Cuba walioenda nchini humo mwaka jana.
 - 
        
            
            Jumapili, Disemba Pili, 2018
Dec 02, 2018 03:24Leo ni Jumapili tarehe 24 Rabiul-Awwal, Mfungo Sita 1440, Hijria, sawa na Disemba Pili 2018, Miladia.
 - 
        
            
            Watu watatu tu wamenusurika katika ajali ya ndege iliyokuwa imebeba watu 110 nchini Cuba
May 19, 2018 08:11Watu watatu tu wameripotiwa kunusurika katika ajali ya ndege iliyochakaa aina ya Boeing 737 ambayo ilianguka hapo jana muda mfupi baada ya kuruka katika uwanja wa ndege wa Havana nchini Cuba huku wachunguzi wakijaribu kubaini chanzo cha ajali hiyo kupitia mabaki ya ndege hiyo.
 - 
        
            
            Cuba: Jinai za Israel dhidi ya Wapalestina ni ukiukaji wa haki za binadamu
Apr 04, 2018 14:26Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Cuba imetoa taarifa rasmi inayolaani jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina na kusema kuwa, jinai hizo ni ukiukaji wa wazi wa haki za binadamu.
 - 
        
            
            Cuba na Venezuela Kuungana Kukabiliana na Chokochoko za Marekani
Feb 24, 2018 14:18Harakati ya Urafiki na Mshikamano wa Cuba na Venezuela imesisitiza kuhusu muungano wa nchi hizo mbili katika kukabiliana na chokochoko za uingiliaji wa Marekani.
 - 
        
            
            Mtoto mkubwa wa Fidel Castro ajiua Cuba, msongo wa mawazo watajwa kuwa chanzo
Feb 02, 2018 16:32Mtoto mkubwa wa aliyekuwa rais wa Cuba, Fidel Castro, Fidel Ángel Castro Díaz-Balart mwenye umri wa miakka 68 jana alikutwa amejiua huko Havana, mji mkuu wa nchi hiyo.
 - 
        
            
            Jumamosi, Disemba 2, 2017
Dec 02, 2017 04:11Leo ni Jumamosi tarehe 13 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1439 Hijria mwafaka na tarehe Pili Disemba 2017 Miladia.