-
Cuba: Jinai za Israel dhidi ya Wapalestina ni ukiukaji wa haki za binadamu
Apr 04, 2018 14:26Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Cuba imetoa taarifa rasmi inayolaani jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina na kusema kuwa, jinai hizo ni ukiukaji wa wazi wa haki za binadamu.
-
Cuba na Venezuela Kuungana Kukabiliana na Chokochoko za Marekani
Feb 24, 2018 14:18Harakati ya Urafiki na Mshikamano wa Cuba na Venezuela imesisitiza kuhusu muungano wa nchi hizo mbili katika kukabiliana na chokochoko za uingiliaji wa Marekani.
-
Mtoto mkubwa wa Fidel Castro ajiua Cuba, msongo wa mawazo watajwa kuwa chanzo
Feb 02, 2018 16:32Mtoto mkubwa wa aliyekuwa rais wa Cuba, Fidel Castro, Fidel Ángel Castro Díaz-Balart mwenye umri wa miakka 68 jana alikutwa amejiua huko Havana, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Jumamosi, Disemba 2, 2017
Dec 02, 2017 04:11Leo ni Jumamosi tarehe 13 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1439 Hijria mwafaka na tarehe Pili Disemba 2017 Miladia.
-
Cuba yalaani chuki za Marekani dhidi ya Korea Kaskazini
Nov 23, 2017 07:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba amelaani vitisho na misimamo ya chuki na ya kuzusha fujo vinavyofanywa na Marekani dhidi ya Korea Kaskazini.
-
Marais wa nchi za Amerika ya Latini wakipongeza chama tawala Venezuela kwa kuwashinda wapinzani marafiki wa Magharibi
Oct 16, 2017 16:37Marais wa nchi za Bolivia, Nicaragua na Cuba sambamba na kukaribisha ushindi wa chama tawala cha Kisosholisti nchini Venezuela kwa kuibuka mshindi katika uchanguzi wa magavana wa majimbo ya nchi hiyo uliofanyika Jumapili ya jana, wamefurahishwa pia na umoja na mshikamano wa Wavenezuela dhidi ya njama za Wamagharibi.
-
Wanachama UNESCO wakataa wito wa kukaa kimya dakika moja kwa sababu ya Holocaust
Jul 08, 2017 02:52Wito uliotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika kikao cha Shirika la Elimu, Syansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) wa kunyamaza kimya dakika moja ili kuonesha heshima kwa eti wahanga wa mauaji ya Holocaust umekabiliwa na upinzani mkali wa mwakilishi wa Cuba katika kikao hicho.
-
Trump na maonyesho ya kusimama kidete mbele ya Cuba
Jun 18, 2017 03:50Rais Donald Trump wa Marekani amefuta sehemu ya mapatano yaliyofikiwa kati ya Washington na Havana wakati wa utawala wa Rais Barack Obama ikiwa ni katika juhudi za kutekeleza ahadi alizotoa wakati wa uchaguzi.
-
Jumamosi, Mei 20, 2017
May 20, 2017 06:12Leo ni Jumamosi tarehe 23 Shaaban 1438 Hijria sawa na tarehe 20 Mei mwaka 2017 Miladia.
-
Jumanne, tarehe 25 Aprili, 2017
Apr 25, 2017 02:27Leo ni Jumanne 27 Rajab 1438 Hijria sawa na 25 Aprili, 2017.