-
Kusambaratishwa kikamilifu DAESH (ISIS) nchini Iraq
Nov 19, 2017 04:00Mabadiliko yanayojiri kwenye medani za vita nchini Iraq yanabainisha kusambaratishwa na kutokomezwa Daesh (ISIS) nchini humo; na kushindwa kikamilifu kundi hilo la kigaidi na kitakfiri ambako ni sawa na kupata mafanikio makubwa Wairaqi katika mapambano dhidi ya magaidi kumeakisiwa sana na duru mbalimbali za habari.
-
Mamia ya viwiliwili vya magaidi wa ISIS vimehifadhiwa katika vyumba vya maiti Libya
Nov 14, 2017 03:56Libya imetangaza habari ya kuhifadhiwa mamia ya viwiliwili vya magaidi wa Daesh katika mji wa Misrata tangu mwaka mmoja uliopita.
-
Marekani yaua raia 16 kwa niaba ya ISIS mashariki mwa Syria
Nov 13, 2017 00:47Kwa akali raia 16 wameuawa katika mashambulizi mapya ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za Marekani mashariki mwa Syria, siku chache baada ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) kutimuliwa katika eneo hilo.
-
Karzai: Marekani inashirikiana na ISIS (Daesh) nchini Afghanistan
Nov 12, 2017 10:11Rais wa zamani wa Afghanistan, Hamid Karzai amesema Marekani inafanya kazi bega kwa bega na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika nchi hiyo inayoshuhudia vita na ukosefu wa uthabiti kwa miaka mingi sasa.
-
Kusambaratishwa ISIS mashariki mwa Syria
Nov 09, 2017 23:04Hatua ya wanajeshi wa Syria na waitifaki wao ya kuingia katika mji wa mpakani wa al-Bukamal ina maana ya kusambaratishwa kikamilifu magaidi wa Daesh (ISIS) mashariki mwa nchi hiyo. Mafanikio hayo makubwa yaliyopatikana katika vita dhidi ya ugaidi yamekuja wiki moja baada ya kukombolewa mji wa kiistratijia wa Deir ez-Zor kutoka katika makucha ya magaidi wa ISIS wanaoungwa mkono na madola ya kigeni ukiwemo utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran: Hujumu dhidi ya wakimbizi Syria, ishara ya kusambaratika ISIS Deir Ezzor
Nov 05, 2017 11:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali shambulizi la bomu dhidi ya mkusanyiko wa wakimbizi katika mji wa Deir Ezzor, mashariki mwa Syria, lililosababisha vifo vya makumi ya watu.
-
Hizbullah ya Iraq: Baada ya Daesh kushindwa, Marekani na Israel zinapanga njama mpya
Nov 02, 2017 13:50Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu 'Kataib Hizbullah' nchini Iraq sambamba na kutangaza kuwa, genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh lilikuwa na mpango wa uharibifu kupitia ajenda za Marekani, Israel na fedha za baadhi ya nchi za Kiarabu, imesema kuwa baada ya kumalizika vita dhidi ya kundi hilo Iraq inatakiwa kujiweka tayari kwa ajili ya njama mpya za Washington na washirika wake.
-
Raia karibu 2000 wa Ufaransa ni wapiganaji wa kundi la kigaidi la ISIS
Oct 29, 2017 04:26Kuna raia 1,910 wa Ufaransa ambao ni wapiganaji wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
-
Kamanda wa Badr: Itikadi za Kiwahabi zinachochea ugaidi
Oct 28, 2017 23:34Kamanda wa kikosi cha wananchi wa Iraq cha Badr amesema kuwa Daesh na makundi mengine ya kigaidi katika eneo la Mashariki ya Kati yanaongozwa na fikra na itikadi za Kiwahabi za Saudi Arabia.
-
Uingereza yataka raia wake waliojiunga na ISIS Syria wauawe
Oct 24, 2017 01:01Uingereza inataka raia wake waliojiunga na kundi la kigaidi la ISIS au Daesh nchini Syria wauawe kabla ya kupata fursa ya kurejea nyumbani.