-
Wanachama wanne wa Daesh watiwa mbaroni Somalia
Sep 05, 2016 09:32Wanachama wanne wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wametiwa mbaroni kusini mwa Somalia.
-
Jumapili, 4 Septemba, 2016
Sep 03, 2016 23:21Leo ni Jumapili tarehe Pili Mfunguo Tatu Dhul-Hijjah mwaka 1437 Hijiria, sawa na tarehe nne Septemba mwaka 2016 Miladia.
-
Ijumaa, Septemba Pili, 2016
Sep 02, 2016 00:04Leo ni Ijumaa tarehe 30 Dhilqaada 1437 Hijria sawa na tarehe Pili Septemba 2016.
-
'Kusimama kidete Syria ni katika heshima za umma wa Kiislamu'
Sep 01, 2016 11:08Mwanaharakati mmoja wa Misri amesema kuwa, Syria ni katika mataifa ya kujivunia ya ulimwengu wa Kiislamu na kujilinda na kusimama kidete nchi hiyo ni heshima kwa umma wa Kiislamu.
-
Padri nchini Indonesia anusurika kuuawa na mwanachama wa Daesh
Aug 29, 2016 10:11Polisi ya Indonesia imetangaza habari ya kunusurika kuuawa padri mmoja wa nchi hiyo kutokana na hujuma ya mwanachama wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Padri nchini Indonesia anusurika kuuawa na mwanachama wa Daesh
Aug 29, 2016 09:26Polisi ya Indonesia imetangaza habari ya kunusurika kuuawa padri mmoja wa nchi hiyo kutokana na hujuma ya mwanachama wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Jeshi la Iraq limeangamiza Madaesh 700 katika kisiwa cha Khalidiya
Aug 18, 2016 22:21Jeshi la Iraq limetangaza kuwa limefanikiwa kuangamiza mamia ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika operesheni ya kukomboa kisiwa cha Khalidiya, kilichopo mashariki mwa mji wa Ramadi, magharibi mwa mkoa wa Anbar.
-
Baghdad yairuhusu Russia kutumia anga yake dhidi ya Daesh
Aug 17, 2016 02:42Baghdad imesema kuwa Russia imeruhusiwa kwa masharti kutumia anga ya Iraq kuendesha mashambulizi dhidi ya kundi la Daesh huko Syria.
-
Nasrullah: Makundi kigaidi yanatumikia maslahi ya Marekani
Aug 14, 2016 02:31Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameyataka makundi ya kigaidi na kitakfiri kuweka chini silaha na yatambue kuwa harakati zao hazina maslahi kwa yeyote isipokuwa adui Marekani.
-
"Madai kuwa Iran imeipa Daesh silaha ni kichekesho"
Aug 11, 2016 10:01Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha madai ya kipropaganda yanayoenezwa na vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa Tehran imelipa silaha kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.