Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Trump: Obama na Hillary Clinton waliunda kundi la kigaidi la Daesh

    Trump: Obama na Hillary Clinton waliunda kundi la kigaidi la Daesh

    Aug 11, 2016 03:27

    Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump amesema kuwa, Rais Barack Obama na waziri wa zamani wa mambo ya nje wa nchi hiyo Hillary Clinton ndio walioanzisha kundi la kigaidi la Daesh.

  • Shamkhani: Baadhi ya nchi ajinabi haziko tayari kupatiwa ufumbuzi suala la Daesh

    Shamkhani: Baadhi ya nchi ajinabi haziko tayari kupatiwa ufumbuzi suala la Daesh

    Aug 09, 2016 08:52

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ametaka kuwepo umoja na mshikamano baina ya jamii na makundi mbalimbali kwa ajili ya Iraq moja.

  • Magaidi 150 wa Daesh waangamizwa mashariki mwa Syria

    Magaidi 150 wa Daesh waangamizwa mashariki mwa Syria

    Aug 05, 2016 23:18

    Jeshi la Syria limefanikiwa kuangamiza makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika mkoa wa Deir Ez-Zour, mashariki mwa nchi mapema jana Ijumaa.

  • Radiamali ya kiongozi wa Boko Haram kufuatia kuteuliwa kiongozi mpya na Daesh

    Radiamali ya kiongozi wa Boko Haram kufuatia kuteuliwa kiongozi mpya na Daesh

    Aug 04, 2016 10:36

    Kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram la nchini Nigeria amesema kuwa wanachama wa kundi hilo hawaafiki kuteuliwa mjumbe yoyote kutoka kundi la Daesh kuwa kiongozi wao.

  • Uingereza: Tumesambaratisha ngome muhimu ya mafunzo ya kijeshi ya kundi la Daesh Mosul

    Uingereza: Tumesambaratisha ngome muhimu ya mafunzo ya kijeshi ya kundi la Daesh Mosul

    Aug 03, 2016 09:42

    Wizara ya Ulinzi nchini Uingereza imetangaza kuwa, askari wake wa anga (RAF) wameshambulia ngome muhimu ya kutolea mafunzo ya kijeshi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika moja ya ikulu za dikteta Saddam Hussein, rais wa zamani wa nchi hiyo.

  • 42 wauawa na kujeruhiwa katika shambulizi la bomu Libya

    42 wauawa na kujeruhiwa katika shambulizi la bomu Libya

    Aug 02, 2016 23:27

    Makumi ya watu wameuawa na kujeruhiwa katika shambulizi la bomu la kutegwa garini lililolenga wanajeshi wa serikali katika mji wa Benghazi, mashariki mwa Libya.

  • Jumanne Agosti Pili, 2015

    Jumanne Agosti Pili, 2015

    Aug 02, 2016 02:00

    Leo ni Jumanne tarehe 28 Shawwal 1437 Hijria sawaq na 2 Agosti 2016.

  • Ghala la silaha za Daesh lanaswa Sirte, Libya

    Ghala la silaha za Daesh lanaswa Sirte, Libya

    Jul 31, 2016 11:49

    Vikosi vya jeshi la Libya vimegundua na kunasa karakana moja ya kuzalisha mabomu ya kutega ardhini, mada za miripuko na ghala lililokuwa na silaha za aina mbalimbali mali ya kundi la kigaidi la Daesh huko mashariki mwa mji wa Sirte nchini humo.

  • Askri kadhaa wa Libya wauawa katika mapigano mapya Sirte

    Askri kadhaa wa Libya wauawa katika mapigano mapya Sirte

    Jul 30, 2016 03:33

    Mapigano mapya baina ya askari wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya na genge la kigaidi la Daesh yamesababisha mauaji ya askari watano wa serikali katika mji wa Sirte, kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Ijumaa, 29 Julai, 2016

    Ijumaa, 29 Julai, 2016

    Jul 29, 2016 01:33

    Leo ni Ijumaa tarehe 24 Shawwal 1437 Hijria sawa na 29 Julai 2016.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS