-
AU kuanzisha tena juhudi za usuluhishi kati ya serikali ya Sudan na waasi wa eneo la Darfur
Dec 21, 2017 02:43Umoja wa Afrika utaanzisha tena usuluhishi kwa njia ya mazungumzo kati ya serikali ya Sudan na waasi wa Darfur baada ya mazungumzo hayo kusimama kwa muda wa miezi 16.
-
Waasi wa Darfur watangaza kusitisha vita kwa miezi miwili
Dec 02, 2017 07:21Makundi matatu ya waasi wa eneo la Darfur huko magharibi mwa Sudan yametangaza usitishaji vita wa miezi miwili hadi tarehe 31 Januari mwaka 2018.
-
Wanajeshi 10 wa Sudan wauawa katika mapigano huko Darfur
Nov 28, 2017 07:47Askari 10 akiwemo kamanda wa ngazi za juu wa jeshi la Sudan wameuawa katika mapigano mapya yaliyozuka hivi karibuni katika jimbo la Darfur.
-
Kamanda wa kundi moja la waasi atiwa mbaroni Darfur Sudan
Nov 27, 2017 15:15Wizara ya Ulinzi ya Sudan imetangaza habari ya kutiwa mbaroni kamanda wa kundi moja la waasi wa eneo la Darfur la magharibi mwa Sudan kwa tuhuma za kuvunja haki za binadamu.
-
Al Bashir atishia kuchukua hatua kali dhidi ya waasi Darfur
Nov 08, 2017 15:15Rais wa Sudan ametishia kuchukua hatua kali dhidi ya waasi wa Darfur iwapo hawatakabidhi silaha zao.
-
Baraza la Usalama lalaani kuuawa askari wa UNAMID huko Darfur, Sudan
Jun 02, 2017 14:05Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limelaani shambulizi dhidi ya operesheni ya kikosi cha pamoja cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa huko Darfur UNAMID.
-
UN: Licha ya kupatikana amani ya kiwango fulani Darfur, bado Sudan inakabiliwa na hali mbaya
Feb 23, 2017 14:22Umoja wa Mataifa umetoa ripoti ukisema kuwa, licha ya kufikiwa usalama wa kiwango fulani huko katika eneo la Darfur, magharibi mwa Sudan, lakini bado kuna mapigano ya mara kwa mara nchini humo.
-
Sudan: Madai kwamba tulitumia silaha za kemikali Darfur, hayana ukweli
Oct 07, 2016 07:18Serikali ya Sudan imekadhibisha madai ya Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International lililodai kwamba Khartoum ilitumia silaha za kemikali katika jimbo la Darfur.
-
Sudan yamtimua ofisa wa UN kwa kuandaa ripoti 'bandia' juu ya Darfur
May 26, 2016 07:41Sudan imemtimua ofisa mwandamizi wa Umoja wa Mataifa nchini humo kwa tuhuma za kuandaa kile kilichotajwa na serikali ya Khartoum kuwa ripoti bandia kuhusu hali ya kiusalama katika eneo la Darfur.
-
Kushambuliwa kambi ya wakimbizi Darfur Sudan
May 11, 2016 07:46Watu wenye silaha wameishambulia kambi ya wakimbizi katika jimbo la Darfur, magharibi mwa Sudan na kuua watu wasiopungua watatu na kuwajeruhi wengine 11.