-
Upotoshaji mkubwa! Al Jazeera yaficha shukrani za msemaji wa Hamas kwa Iran
Jan 21, 2025 07:17Kitengo cha "habari za punde" cha televisheni ya Al Jazeera ya Qatar kwenye mitandao ya kijamii, katika hatua ya kushangaza, kimechuja shukrani zilizotolewa na Obaida, msemaji wa "Brigedi za Izzuddin al-Qassam," tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kwa Iran na Yemen.
-
Kama si Iran, nani atakayeunusuru ulimwengu na shari ya wazi na iliyojificha ya Israel?
Jan 10, 2025 07:28Kwa miaka mingi sasa Israel imekuwa ikitekeleza sera za ardhi iliyochomwa (scorched-earth policy) katika eneo la Asia Magharibi. Kuanzia mashambulizi yasiyosita katika Ukanda wa Gaza na mauaji ya kimbari ya raia wa Palestina hadi kuwauwa kigaidi wasomi wa nyuklia wa Iran na mashambulizi ya anga dhidi ya Syria, ni sehemu ya sera za Israel ambazo zimejikita katika kueneza vita na hali ya mchafukoge.
-
Kuna tofauti kubwa baina ya Mayahudi na Wazayuni (PICHA)
Oct 03, 2024 11:14Katika kujibu swali linalosema kuwa, je, kuna tofauti baina ya Mayahudi na Wazayuni, tunapenda kusema kwamba, naam, kuna tofauti kubwa baina ya makundi hayo mawili.
-
Ukoloni, tangu mwanzo hadi leo (4)
Oct 03, 2024 10:52Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni katika Episodi ya Nne ya Podikasti tuliyoipa jina la Ukoloni Tangu Mwanzo hadi Leo. Podikasti hii inazungumzia historia na jinsi ilivyojitokea fikra hii ya ukoloni katika nukta tofauti duniani, sababu na madhara yake makubwa. Podikasti hii inazungumzia pia aina mbalimbali za ukoloni.
-
Tunawaambiaje wale wanaolaani mapambano ya silaha ya Wapalestina?
Dec 12, 2023 10:09Hivi inafaa kweli kuwalaumu Wapalestina kwa kuendesha mapambano ya silaha dhidi ya Wazayuni Kama unaamini hivyo, basi anza kwanza kulaani mapambano ya mashujaa kama Nelson Mandela. Lakini pia si shujaa Nelson Mandela tu, bali wako wengi.
-
Je unaijua Pallywood na upotoshaji wake kuhusu jinai za Ghaza?
Dec 05, 2023 10:58Yumkini hadi hivi sasa umeshasikia kuhusu Hollywood, Bollywood au hata Nollywood, lakini vipi kuhusu Pallywood?
-
Jinai za Israel huko Ghaza haziwahi kutokea mfano wake katika karne ya 21
Nov 09, 2023 11:40Uhalifu wa kivita wa Israel katika Ukanda wa Ghaza umevunja rekodi za uhalifu na jinai zote zilizotokea katika karne ya 21.
-
Je, unajua Wazayuni walifanya jinai kubwa kiasi gani wakati wanaiteka Ghaza?
Nov 01, 2023 10:59Je unajua ni jinai kubwa kiasi gani zilifanywa na Wazayuni wakati wanateka kijinai ardhi za Wapalestina miaka 75 iliyopita?
-
Uongo 10 unaoenezwa na Wazayuni kupotosha kadhia ya Palestina
Nov 01, 2023 10:48Wazayuni wanafanya propaganda kubwa kujaribu kupotosha fikra za walimwengu kuhusu jinai zao na kuhusu kadhia nzima ya Palestina.
-
Jinai za Wazayuni hazijawahi kushuhudiwa katika karne ya 21
Nov 01, 2023 10:30Wazayuni wameshambulia hospitali na kuua shahidi kwa umati na kwa mkupuo mmoja mamia ya Wapalestina.