-
Bagheri: Lebanon itakuwa jahanamu kubwa kwa Israel
Jul 03, 2024 08:19Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, bila ya shaka yoyote Lebanon itakuwa jahanamu kubwa sana kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Donald Trump akiri juu ya udhaifu wa utawala wa Kizayuni
May 29, 2024 05:27Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani amesema katika mkusanyiko wa Wayahudi wa Marekani kwamba utawala wa Israel umepoteza uwezo wake.
-
Trump aapa "kutimua wanafunzi" na kukandamiza wanaounga mkono Palestina akichagualiwa tena kuwa rais
May 29, 2024 00:08Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameapa kuwa atakandamiza maandamano ya watetezi na waungaji mkono wa Palestina yanayoendelea kufanywa katika vyuo vikuu vya nchi hiyo na kusisitiza kuwa "atawafukuza" wanafunzi wanaohudhuria maandamano hayo, ikiwa atachaguliwa kurudi tena madarakani.
-
Trump aonya: Kutakuwa na 'umwagaji mkubwa wa damu' nisipochaguliwa kuwa rais wa Marekani
Mar 17, 2024 02:15Donald Trump ameuambia mkutano wa hadhara katika jimbo la Ohio kwamba uchaguzi wa rais wa Novemba utakuwa "tarehe muhimu zaidi" katika historia ya Marekani akiitaja kampeni yake ya kuingia tena Ikulu ya White kama hatua ya mabadiliko muhimu sana kwa nchi hiyo.
-
Trump: Hali mbaya zaidi inaisubiri Marekani iwapo Biden atashinda 2024
Feb 25, 2024 06:53Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani kwa mara nyingine amemshambulia Rais wa sasa wa nchi hiyo Joe Biden akisisitiza kuwa, Wamarekani watakabiliwa na hali mbaya zaidi iwapo Biden atashinda muhula wa pili katika uchaguzi wa rais wa mwaka huu.
-
Ombi la Italia la kuunda jeshi la Ulaya
Jan 08, 2024 22:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Antonio Tajani, amesema kwamba Umoja wa Ulaya unapaswa kuunda jeshi lake la pamoja ambalo linaweza kuwa na jukumu la kudumisha amani na kuzuia migogoro.
-
Kumbukumbu ya mwaka wa 3 tangu baada ya tukio la Januari 6; Ishara ya kufifia demokrasia ya Marekani
Jan 06, 2024 07:22Maadhimisho ya miaka mitatu ya shambulio dhidi ya Bunge la Congress ya Marekani Januari 6, 2021 yamewadia huku wapinzani wawili katika uchaguzi wa rais, ambao ni Rais Mdemocrati, Joe Biden, na mgombea mkuu wa chama cha Republican, Donald Trump, wakishambuliana kwa maneno makali hasa katika kipindi hiki cha kuingia mwaka wa uchaguzi wa rais nchini Marekani.
-
Kumbukumbu ya kuuawa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani
Jan 02, 2024 13:15Hamjambo na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu ya kukumbuka kuuawa shahidi Kamanda wa Kiislamu, Haj Qassem Soleimani, fahari na kinara wa Iran katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS). Kamanda huyu shujaa aliuawa shahidi katika shambulio la kikatili na kigaidi la ndege za kivita za Marekani huko Iraq.
-
Uchaguzi wa urais wa 2024 na kuongezeka hatari ya ugaidi ndani ya Marekani
Jan 01, 2024 23:18Jena Marie Griswold, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jimbo la Colorado nchini Marekani, amesema kuwa ametishiwa maisha mara kadhaa baada ya kuwasilisha malalamiko yaliyopelekea kuondolewa jina la Donald Trump, mgombea wa chama cha Republican katika uchaguzi wa rais wa Marekani mwaka huu wa 2024 kwenye orodha ya wagombea katika jimbo hilo.
-
Kuendelea vita vya maneno vya Trump dhidi ya Rais wa Marekani
Sep 20, 2023 04:14Rais wa zamani wa Marekani, amekejeli hotuba ya jana ya Rais Joe Biden wa nchi hiyo katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ikiwa ni katika kuendelea na mashambulizi yake ya maneno na ukosoaji dhidi ya kiongozi huyo.