Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Onyo kuhusu ongezeko kubwa la itikadi kali za kisiasa nchini Marekani

    Onyo kuhusu ongezeko kubwa la itikadi kali za kisiasa nchini Marekani

    Aug 15, 2023 23:20

    Wakati kesi ya Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ikiendelea sambamba na kuandaliwa uchaguzi wa rais wa nchi hiyo wa mwaka 2024, wataalamu wametahadharisha kuhusu ongezeko kubwa la misimamo mikali ya kisiasa miongoni mwa Wamarekani.

  • Tofauti zapamba moto baina ya Republican na Democrats kuhusu kesi ya mtoto wa Biden

    Tofauti zapamba moto baina ya Republican na Democrats kuhusu kesi ya mtoto wa Biden

    Aug 08, 2023 23:42

    Chama cha Republican kimekosoa waziwazi mienendo ya kindumakuwili ya mfumo wa mahakama na Rais wa Merekani kuhusu kesi inayomkabili mtoto wa Joe Biden.

  • Rais wa Venezuela: White House ilipanga njama niuawe

    Rais wa Venezuela: White House ilipanga njama niuawe

    Aug 05, 2023 22:59

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amemtuhumu aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump kwamba alikuwa mstari wa mbele katika kupanga njama iliyofeli ya kuuawa kiongozi huyo wa Amerika ya Latini.

  • Trump: Rais Biden ni mraibu wa mihadarati ya cocaine

    Trump: Rais Biden ni mraibu wa mihadarati ya cocaine

    Jul 06, 2023 23:39

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amedai kuwa Rais Joe Biden wa nchi hiyo ni mtumiaji wa mihadarati aina ya cocaine, na kwamba vyombo vya habari vya nchi hiyo vinajaribu kufifiliza kashfa ya kupatikana dawa hiyo ya kulevya ndani ya Ikulu ya White House.

  • Uchunguzi wa maoni: Wapiga kura wa Marekani wana wasiwasi kuhusu maandalizi ya kiakili ya Biden na Trump

    Uchunguzi wa maoni: Wapiga kura wa Marekani wana wasiwasi kuhusu maandalizi ya kiakili ya Biden na Trump

    May 24, 2023 07:16

    Kwa mujibu wa uchunguzi wa maoni kuhusu uchaguzi uliofanyika karibuni nchini Marekani; wananchi wa nchi hiyo wanasema wana wasiwasi kuhusu kuwa tayari kiakili Rais wa sasa wa nchi hiyo Joe Biden na mtangulizi wake Donald Trump.

  • Trump ahukumiwa kulipa fidia ya dola milioni tano katika kesi ya unyanyasaji wa kingono

    Trump ahukumiwa kulipa fidia ya dola milioni tano katika kesi ya unyanyasaji wa kingono

    May 10, 2023 02:33

    Baraza la Wazee la Mahakama ya Serikali Kuu katika jimbo la New York nchini Marekani imempata na hatia rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump katika kesi ya unyanyasaji wa kingono na kumchafulia mtu jina na kumhukumu kulipa fidia ya zaidi ya dola milioni tano.

  • Kuchapishwa ripoti rasmi ya serikali ya Biden kuhusu kuondoka Afghanistan

    Kuchapishwa ripoti rasmi ya serikali ya Biden kuhusu kuondoka Afghanistan

    Apr 08, 2023 22:44

    Ikulu ya Rais wa Marekani (White House) Alhamisi iliyopita iliwasilisha ripoti yake rasmi kuhusu namna serikali ya Biden ilivyoondoka kwa madhila na fedheha huko Afghanistan. Ndani ya ripoti hiyo, serikali ya Trump imetajwa mara kwa mara kuwa ndio inayopaswa kulaumiwa kwa jinsi Marekani ilivyondoka huko Afghanistan katika hali ya mivutano.

  • Bolton: Trump ni saratani ya Chama cha Republican

    Bolton: Trump ni saratani ya Chama cha Republican

    Apr 03, 2023 06:21

    Mshauri wa zamani wa Usalama wa Taifa wa Ikulu ya White House amemtaja Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani, kuwa ni saratani ya Chama cha Republican.

  • Vyombo vya usalama vya Marekani vyajitayarisha kumkamata rais wa zamani wa nchi hiyo, Trump

    Vyombo vya usalama vya Marekani vyajitayarisha kumkamata rais wa zamani wa nchi hiyo, Trump

    Mar 19, 2023 02:22

    Vyombo vya habari vimeripoti kuwa askari usalama wa Marekani wanajitayarisha kwa ajili ya kumkamata rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald Trump kuhusiana na faili la uhalifu lililofikishwa mahakamani.

  • Trump: Marekani ni tishio kuu kwa utamaduni wa Magharibi

    Trump: Marekani ni tishio kuu kwa utamaduni wa Magharibi

    Mar 18, 2023 10:47

    Rais wa zamani wa Marekani amesema kuwa Russia si tishio kubwa kwa Marekani bali baadhi ya raia wa nchi hiyo ndio tishio kwa Marekani na utamaduni wa Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS