Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Warepublican wanaogopa mno Trump kugombea urais 2024 nchini Marekani

    Warepublican wanaogopa mno Trump kugombea urais 2024 nchini Marekani

    Jul 25, 2022 21:53

    Ripoti mbalimbali zinaonesha kuwa, viongozi waandamizi wa chama cha Republican cha nchini Marekani wana wasiwasi mkubwa wa kugombea urais Donald Trump mwaka 2024 kutokana na kashfa nzito zinazomkabili.

  • New York Post: Trump hafai tena kuwa rais wa Marekani

    New York Post: Trump hafai tena kuwa rais wa Marekani

    Jul 24, 2022 06:37

    Gazeti la Marekani la New York Times limesema katika ripoti kwamba Donald Trump hana sababu yoyote ya msingi ya kujitetea kuhusu uzembe aliofanya kwa makusudii na hivyo kushindwa kuzuia vurugu zilizofanywa na magenge ya uhalifu katika fujo za Januari 6, 2021.

  • Kamati ya Bunge: Tuna ushahidi wa kumtia hatiani Trump

    Kamati ya Bunge: Tuna ushahidi wa kumtia hatiani Trump

    Jun 13, 2022 06:48

    Wanachama wa Kamati ya Bunge la Marekani inayochunguza shambulio dhidi ya jengo la Kongresi tarehe 6 Januari mwaka jana, wamesema wana ushahidi wa kutosha wa kumtia hatiani aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Donald Trump.

  • Newsweek: Trump yumkini akafungwa jela miaka mitano

    Newsweek: Trump yumkini akafungwa jela miaka mitano

    Feb 20, 2022 21:43

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, huenda akafungwa jela miaka mitano kwa madai kwamba alichukua nyaraka za siri za Ikulu ya Rais wa Marekani kuhusiana na usalama wa taifa alipoondoka madarakani mwaka jana.

  • Trump 'aliiba' nyaraka za siri za serikali alipohama Ikulu ya White House

    Trump 'aliiba' nyaraka za siri za serikali alipohama Ikulu ya White House

    Feb 19, 2022 07:54

    Idara ya Hifadhi ya Nyaraka na Kumbukumbu za Taifa ya Marekani imetangaza kuwa, nyaraka za taarifa za siri zimepatikana kwenye maboksi 15 ya kumbukumbu za Ikulu ya White yaliyokuwa yamehifadhiwa katika nyumba ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Donald Trump huko Mar-a-Lago, jimboni Florida.

  • Kukiri kutokuwa na taathira wenzo wa mashinikizo ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran

    Kukiri kutokuwa na taathira wenzo wa mashinikizo ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran

    Feb 04, 2022 05:50

    Chris Murphy Seneta wa chama cha Democrat nchini Marekani amekiri kuwa vikwazo vya mashinikizo eti ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran havijawa na matunda wala athari yoyote kwa manufaa ya Washington.

  • “Huenda Trump akaitumbukiza Marekani katika vita vya pili vya ndani”

    “Huenda Trump akaitumbukiza Marekani katika vita vya pili vya ndani”

    Feb 01, 2022 23:03

    Mchambuzi mmoja wa masuala ya siasa amesema yumkini aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump akaitumbukiza nchi hiyo katika vita vya pili vya wenyewe kwa wenyewe.

  • Trump: Nitawasamehe waliovamia Kongresi ya Marekani nikishinda urais

    Trump: Nitawasamehe waliovamia Kongresi ya Marekani nikishinda urais

    Jan 30, 2022 04:27

    Aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump amesema iwapo atagombea na kushinda urais katika uchaguzi wa mwaka 2024, atawasamehe na kuagiza kuachiwa huru watenda jinai waliohusika na shambulizi dhidi ya jengo la Kongresi mnamo tarehe 6 Januari mwaka jana, lililofanywa na wafuasi wake.

  • "Trump kujitoa JCPOA ndio uamuzi wa kipumbavu zaidi ndani ya miaka 50"

    Jan 23, 2022 23:11

    Seneta mmoja mashuhuri huko Marekani amesema kitendo cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Donald Trump cha kujitoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA, ndio uamuzi wa kipumbavu zaidi katika kipindi cha miaka 50 iliyopita.

  • White House: Kujitoa Trump kwenye mapatano ya JCPOA lilikuwa kosa kubwa

    White House: Kujitoa Trump kwenye mapatano ya JCPOA lilikuwa kosa kubwa

    Jan 13, 2022 04:19

    Viongozi wa Ikulu ya Marekani, White House wamesema kuwa, kitendo cha Donald Trump cha kujitoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA lilikuwa ni kosa kubwa kutokana na rais huyo wa zamani wa Marekani kutokuwa na ratiba zozote za kukabiliana na yatakayotokea baada ya kujitoa kwake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS