-
Brigedia Jenerali Qaani: Wauaji wa Kamanda Soleimani hawatakuwa salama
Jan 05, 2022 04:15Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: Wauaji wa Luteni Jenerali Qasem Soleimani walidhani kuwa wameshinda kwa kumuua, lakini hawakujua kwamba hawatakuwa salama.
-
Marekani yapinga azimio la Umoja wa Mataifa la kupinga ubaguzi wa rangi
Dec 19, 2021 01:55Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi iliyopita lilipitisha azimio la kulaani aina zote za ubaguzi wa rangi.
-
Kuanza Mkutano wa Demokrasia huko Marekani na madai ya uongo ya Biden
Dec 11, 2021 04:47Baada ya makelele mengi ya kipropaganda hatimaye Mkutano wa Demokrasia ulianza siku ya Alhamisi iliyopita kwa hotuba ya Rais Joe Biden huko Washington.
-
Trump: "Laana imshukie Netanyahu, kama si mimi nadhani Israel ingetokomezwa"
Dec 10, 2021 09:37Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameeleza katika sehemu ya kumbukumbu zake kwamba licha ya huduma nyingi alizokuwa akitoa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, lakini hatamsamehe Waziri Mkuu wa zamani wa utawala huo kwa kile alichofanya dhidi yake.
-
Madai ya Marekani ya kuwa na wasiwasi kuhusu mashambulio ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Afghanistan
Nov 09, 2021 23:08Thomas West, mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala Afghanistan amedai kuwa, Washington ina wasiwasi na suala la kuongezeka hujuma na mashambulio ya makundi yenye mfungamano na kundi la Daesh na uwepo wenye kuendelea wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda.
-
Kurejea Marekani katika Baraza la Haki za Binadamu la UN; shaka na shubha kuhusu suala hilo
Oct 16, 2021 22:55Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa juzi Alhamisi liliiarifisha Marekani kuwa moja kati ya wanachama 18 wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa. Duru ya miaka mitatu ya baraza hilo itaanza kuanzia Januari Mosi mwaka ujao wa 2022. Nchi wanachama wa baraza hilo huchaguliwa katika kila duru katika upigaji kura unaofanyika kwa njia ya siri.
-
Washington Post: Ukoo wa Aal Saud ulimpa zawadi 'feki' Donald Trump
Oct 11, 2021 23:00Gazeti la Washington Post la nchini Marekani limefichua kuwa, familia ya kifalme ya Saudi Arabia ilimpa Donald Trump zawadi bandia wakati alipotembelea Saudia kwa mara ya kwanza tangu alipochaguliwa kuwa rais wa Marekani.
-
Waliouawa na corona Marekani wapindukia laki saba, sababu na athari zake
Oct 04, 2021 01:03Baada ya kupita yapata miaka miwili sasa tangu mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona ulipoikumba Marekani, idadi ya Wamarekani waliouawa na virusi hivyo imepindukia laki saba. Katika kipindi cha miezi mitatu na nusu iliyopita pekee zaidi ya Wamarekani laki moja wameaga dunia kutokana na Covid-19 licha ya kiwango kikubwa cha chanjo kilichotolewa nchini humo.
-
Mwaka wa 20 tangu baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001
Sep 11, 2021 05:09Jana ikiwa imebakia siku moja kabla ya kutimia mwaka wa 20 tangu baada ya mashambulizi ya Septemba 11 ambayo yaliua watu karibu elfu tatu, Rais Joe Biden wa Marekani alitoa ujumbe akitaka kuwepo umoja na mshikamano wa kitaifa nchini Marekani.
-
Ripoti ya mashirika ya upelelezi ya Marekani kuhusu chanzo cha kirusi cha corona
Aug 28, 2021 22:21Mashirika ya upelelezi na ujasusi ya Marekan Ijumaa ya jana yalitangaza muhtasari wa uchunguzi wake kuhusu chanzo cha kirusi cha corona na ugonjwa wa COVID-19 na kutangaza kuwa, maafisa wa serikali ya China hwakuwa na habari yoyote kuhusu kirusi cha corona kabla ya kusambaa kwake duniani mwishoni mwa mwaka 2019.