Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Zarif amhutubu Trump: Hakuna vita vibaya na vita vizuri

    Zarif amhutubu Trump: Hakuna vita vibaya na vita vizuri

    Sep 11, 2020 03:42

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemhutubu Rais Donald Trump wa Marekani na kumwambia kwamba, hakuna kitu kinachofahamika kama vita vizuri, na kusisitiza kuwa vita vyote ni vibaya.

  • Kupunguzwa askari wa Marekani nchini Iraq, hatua ya hiari au isiyo na budi?

    Kupunguzwa askari wa Marekani nchini Iraq, hatua ya hiari au isiyo na budi?

    Sep 11, 2020 03:06

    Rais Donald Trump wa Marekani aliahidi na kusisitiza wakati wa kampeni zake za uchaguzi kwamba, endapo atachaguliwa kuwa Rais basi atayaondoa majeshi ya nchi hiyo yaliyopo katika eneo la Asia Magharibi.

  • Erakat: Palestina imekuwa mhanga wa malengo ya uchaguzi ya Donald Trump

    Erakat: Palestina imekuwa mhanga wa malengo ya uchaguzi ya Donald Trump

    Sep 05, 2020 03:31

    Katibu wa Kamati ya Utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema kuwa Palestina imekuwa mhanga wa malengo ya uchaguzi wa Rais ya Donald Trump huko Marekani.

  • Vikwazo vya Marekani dhidi ya maafisa wa ngazi za juu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai

    Vikwazo vya Marekani dhidi ya maafisa wa ngazi za juu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai

    Sep 03, 2020 22:18

    Katika kipindi cha utawala wa Donald Trump nchini Marekani serikali ya Washington imechukua msimamo hasi na wa kihasama dhidi ya taasisi na jumuiya za kimataifa.

  • Trump azusha kioja kipya kwa kutaka Wamarekani wapige kura mara mbili

    Trump azusha kioja kipya kwa kutaka Wamarekani wapige kura mara mbili

    Sep 03, 2020 03:37

    Rais wa Marekani ametoa matamshi ya kushangaza kwa kutaka wananchi wapige kura mara mbili katika uchaguzi wa urais ili kuufanyia majaribio mfumo wa upigaji kura kwa njia ya posta.

  • Upinzani wa Marekani kwa azimio la Baraza la Usalama kuhusu matakfiri; kutengwa zaidi Washington

    Upinzani wa Marekani kwa azimio la Baraza la Usalama kuhusu matakfiri; kutengwa zaidi Washington

    Sep 01, 2020 22:12

    Marekani imekuwa na nafasi muhimu katika kuibuka na kuenea makundi ya kigaidi na kitakfiri hususan kundi la kigaidi la Daesh tangu kuanza mgogoro nchini Syria mwaka 2011.

  • Congress: Trump ndiye sababu ya kuongezeka machafuko nchini Marekani

    Congress: Trump ndiye sababu ya kuongezeka machafuko nchini Marekani

    Aug 31, 2020 22:02

    Mkuu wa Kamati ya Kutoa Taarifa ya Baraza la Congress la Marekani amemlaumu vikali rais wa nchi hiyo Donald Trump na kusema kuwa, vitendo vya kichochezi vya rais huyo ndiyo sababu ya kuzuka na kuongezeka machafuko nchini Marekani.

  • Msimamo wa kukinzana wa Marekani kuhusu mgogoro wa nyuklia wa Korea

    Msimamo wa kukinzana wa Marekani kuhusu mgogoro wa nyuklia wa Korea

    Aug 28, 2020 05:42

    Takriban ni miongo 7 sasa ambapo Marekani ina wanajeshi wake katika Rasi ya Korea. Licha ya kufanyika mazungumzo mara kadhaa baina ya viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini kuhusu kupokonywa silaha za nyuklia Pyongyang lakini mgogoro wa Korea mbili bado uko vile vile. Si hayo tu lakini rais wa Marekani, Donald Trump hivi sasa anataka kupunguzwa idadi ya wanajeshi wa nchi hiyo huko Korea Kusini, suala ambalo limezusha mzozo mpya.

  • Harris: Sera za Trump dhidi ya Iran zimeifanya Marekani itengwe zaidi

    Harris: Sera za Trump dhidi ya Iran zimeifanya Marekani itengwe zaidi

    Aug 27, 2020 21:53

    Makamu wa Joe Biden, mgombea wa chama cha Democratic katika uchaguzi wa rais wa mwezi Novemba mwaka huu nchini Marekani amesema sera za Rais Donald Trump dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimeifanya nchi hiyo itengwe zaidi wakati huu kuliko wakati wowote ule.

  • Trump aendelea kumdhihaki Biden, sasa ataka apimwe madawa ya kulevya

    Trump aendelea kumdhihaki Biden, sasa ataka apimwe madawa ya kulevya

    Aug 27, 2020 06:51

    Rais wa Marekani ameendelea kumkejeli mshindani wake mkuu wa chama cha Democrat katika uchaguzi ujao wa rais kwa kutaka afanyiwe vipimo vya madawa ya kulevya kabla ya kufanyika midahalo baina yao ya kampeni za uchaguzi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS