-
Siasa za kimaonyesho za Trump za kuitaka Iran ifanye mazungumzo naye
May 10, 2019 08:43Katika kipindi cha masaa 24 tokea Iran itangaze rasmi kwamba itapunguza ushirikiano wake na pande husika katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, rais wa Marekani ameitaka Iran mara tatu, ifanye mazungumzo naye.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran, hatua ya 'mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi'
May 09, 2019 23:26Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuiondoa nchi hiyo katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA mnamo tarehe 8 Mei mwaka uliopita, alianza kutekeleza vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran katika hutua mbili yaani mwezi Agosti na Novemba mwaka huo huo.
-
Vikwazo vya upande mmoja vya Marekani; ukiukaji wa wazi wa haki za binadamu
May 08, 2019 02:32Utawala wa Marekani ndio unaoshikilia rekodi ya kuziwekea nchi nyingine vikwazo tofauti tofauti.
-
Uungaji mkono kamili wa Trump kwa jinai za Wazayuni huko Ghaza
May 07, 2019 02:06Tokea Rais Donald Trump wa Madarakani aingie madarakani 20 January 2017, amekuwa akiuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel bila masharti yoyote na amechukua hatua ambazo marais waliomtangulia wa Marekani hawajawahi kuzichukua katika kuupa himaya utawala huo bandia.
-
Trump afufua mpango wa kuiweka Ikhwanul Muslimin kwenye orodha ya ugaidi
May 01, 2019 02:53Rais Donald Trump wa Marekani amehuisha uamuzi wake wa awali wa kuiweka harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin kwenye orodha ya makundi ya kigaidi. Serikali ya Washington inaituhumu Ikhwanul Muslimin kuwa inaeneza ubaguzi katika eneo la Asia Magharibi.
-
Trump avunja rekodi za makidhabu na wasema uongo duniani
Apr 29, 2019 23:41Uchunguzi uliofanywa na mtandao mmoja wa kuchunguza ukweli umesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump amevunja rekodi za wasema uongo kwa kusema uongo mara 23 kila masaa 24 katika kipindi cha miezi saba iliyopita.
-
Trump kuiondoa Marekani katika Mkataba wa Silaha wa UN
Apr 27, 2019 03:16Katika mwendelezo wa sera zake kuu za kujitoa kwenye mikataba na makubaliano ya kimataifa, Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza azma ya kuiondoa nchi hiyo katika Mkataba wa Uuzaji Silaha wa Umoja wa Mataifa (ATT).
-
Corbyn: Trump ni mbaguzi, Uingereza haipaswi kumtandikia 'zulia jekundu'
Apr 27, 2019 03:10Kiongozi wa chama Leba nchini Uingereza amekosoa vikali mpango wa nchi hiyo wa kumpa mapokezi ya hali ya juu Rais Donald Trump atakapoitembelea nchini hiyo mwezi Juni mwaka huu, akisisitiza kuwa rais huyo wa Marekani ni mbaguzi na mtu mwenye hulka ya kuwadhalilisha na kuwatweza wanawake.
-
Amri ya Trump ya kuwekwa mikataba mipya ya silaha baina ya Marekani na Russia na China
Apr 27, 2019 02:27Donald Trump ni rais wa nchi ya kibeberu ya Marekani ambaye amekuja na siasa za kudharau na kupuuza sheria na mikataba yote ya kimataifa na ajenda yake kuu ni kujitoa kwenye mikataba ya kimataifa ikiwemo ya silaha. Hivi sasa dunia imekumbwa na changamoto kubwa inayotokana na kung'ang'ania Marekani kujitoa katika mikataba ya kudhibitiu silaha.
-
Ukosoaji wa Rais Vladmir Putin kuhusiana na miamala mibovu ya Marekani kimataifa
Apr 26, 2019 00:12Siasa za upande mmoja za Rais Donald Trump wa Marekani, zimeibua mizozo mingi katika ngazi za kimataifa.