-
Waziri wa zamani wa Ufaransa aitwa mahakamani kwa kushirikiana na magaidi Syria
Oct 15, 2017 23:03Habari kutoka nchini Ufaransa zinasema kuwa, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa nchi hiyo ya Ulaya ameitwa mahakamani kujibu tuhuma za kushirikiana na magenge ya kigaidi nchini Syria.
-
Ripoti yafichua: Marekani imetumia zaidi ya dola bilioni moja kuwanunulia silaha magaidi nchini Syria
Sep 13, 2017 23:25Kituo kimoja cha utafiti katika eneo la Balkan kimefichua kwamba Marekani imechukua hatua kadhaa kwa ajili ya kuwazatiti kwa silaha magaidi nchini Syria.
-
Mali yathibitisha kutiwa mbaroni gaidi wa harakati ya Macina
Jul 23, 2017 23:25Wanajeshi wa Mali na Ufaransa wamemtia mbaroni mshirika wa karibu wa mhubiri wa huko Mali ambaye kundi lake lenye misimamo mikali limedai kuhusika na makumi ya mashambulizi dhidi ya maslahi ya magharibi na Mali. Hayo yameelezwa na Waziri wa Usalama wa Mali.
-
Israel kujenga hospitali itakayotoa matibabu kwa magaidi wa Syria
Jul 20, 2017 09:15Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umekusudia kujenga hospitali katika miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo nchini Syria, ambayo itakuwa na jukumu la kutoa matibabu kwa magaidi wanaopigana dhidi ya serikali ya Syria, ikiwa ni katika mwendelezo wa misaada ya utawala huo kwa magaidi hao.
-
Brigedia Jenerali Ashtari: Lengo kuu la magaidi ni kuingia Iran
Jul 13, 2017 10:40Kamanda wa polisi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lengo kuu la magaidi ni kuingia Iran kupitia njia mbalimbali na kwamba polisi humu nchini wanapaswa kuwa tayari kukabiliana na magaidi kwa kupokea taarifa za kiitelijensia katika maeneo ya mipakani.
-
Algeria: Waafrika elfu tano wamejiunga na makundi ya kigaidi
Jul 04, 2017 08:13Rais wa Algeria ametahadharisha kuhusu hatari ya vijana elfu tano wa Afrika waliojiunga na mkundi ya kigaidi.
-
Shambulio la kigaidi lawalenga Waislamu wa Uingereza waliokuwa wanatoka msikitini; mmoja auawa na 10 wajeruhiwa
Jun 19, 2017 03:33Kwa akali mtu mmoja ameuawa na wengine 10 wamejeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililowalenga Waislamu waliokuwa wanatoka msikitini usiku wa kuamkia leo katika eneo la Bustani ya Finsbury kaskazini mwa mji mkuu wa Uingereza, London.
-
Mawahabi ndio waliofanya mashambulio ya kigaidi mjini Tehran, Iran
Jun 08, 2017 11:06Wizara ya Usalama wa Taifa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kuwa, magaidi waliofanya mashambulizi jana Jumatano hapa Tehran wametambuliwa. Imesema, magaidi hao walikuwa na uhusiano wa moja kwa moja na magenge ya Kiwahabi nje ya Iran.
-
Mamia ya raia wa Algeria wajiunga na magenge ya kigaidi nchini Yemen
May 31, 2017 22:50Mtandao mmoja wa habari wa Algeria umetangaza kuwa, mamia ya vijana wa Algeria wamejiunga na magenge ya kigaidi yanayofanya mauaji nchini Yemen.
-
Ufilipino: Miripuko ya mjini Manila, ilimlenga imamu wa Kishia
May 07, 2017 23:34Kamanda wa polisi nchini Ufilipino amesema kuwa, miripuko miwili iliyotokea mjini Manila, mji mkuu wa nchi hiyo na kusababisha vifo vya watu wawili, ilikuwa imemlenga imamu wa jamaa wa Kishia mjini hapo.