-
Russia yafichua njama ya magaidi ya kutumia silaha za kemikali Syria
Oct 13, 2018 15:55Russia imetangaza kuwa, ina habari za kipelelezi kuhusu njama inayopangwa na magaidi kwa ajili ya kutumia silaha za kemikali katika eneo la Idlib huko kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Zaidi ya magaidi 50 wauawa Sinai, Misri
Oct 08, 2018 13:18Jeshi la Misri limetangaza kuwa, magaidi 52 wameuawa katika operesheni ya kijeshi iliyofanyika dhidi ya kundi moja la kigaidi katika mkoa wa Sinai Kaskazini.
-
Magaidi 15 waangamizwa Sinai Kaskazini nchini Misri
Oct 04, 2018 02:41Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imetangaza habari ya kuangamizwa magaidi 15 katika mapigano baina ya vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo na magaidi hao kaskazini mwa Misri.
-
Marekani imewatorosha viongozi wa DAESH (ISIS) eneo la Deir ez-Zor, Syria
Sep 23, 2018 02:41Duru za kuaminika za Syria zimetangaza kuwa muungano wa kijeshi wa kimataifa unaoongozwa na Marekani wa eti kupambana na DAESH (ISIS) umewatorosha viongozi kadhaa wa kundi hilo la kigaidi na ukufurishaji katika eneo la Deir ez-Zor mashariki mwa Syria.
-
Walid al Mualim: Ajenda Kuu ya kikao cha Iran, Uturuki na Russia ni kuhusu kukombolewa Idlib
Sep 04, 2018 02:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesisitiza kuwa suala kuu lilogubika kikao cha pande tatu cha viongozi wa Iran, Russia na Uturuki mjini Tehran lilikuwa kuhusiana na kukombolewa mkoa wa Idlib.
-
Amoli: Walimwengu wameng'amua mienendo ya kindumakuwili ya Marekani kuhusu ugaidi
Aug 28, 2018 07:38Mkuu wa Idara ya Mahakama nchini Iran amesema kuwa, mienendo ya kindumakuwili ya Marekani kuhusiana na jinai zinazofanywa na magaidi imedhihirika waziwazi kwa walimwengu.
-
Russia: Magaidi nchini Syria wamejiandaa kufanya shambulio la silaha za kemikali
Aug 27, 2018 07:46Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia ametangaza kuwa magaidi walioko nchini Syria wamejiandaa kufanya shambulio la silaha za kemikali katika kipindi cha siku hizi mbili.
-
Damascus yagundua hospitali ya Israel waliyojengewa magaidi kusini mwa Syria
Aug 23, 2018 15:06Jeshi la Syria limegundua hospitali moja ya jangwani iliyokuwa inatumiwa na genge la kigaidi la Jabhat Fat'h al Sham ambalo zamani likuwa likijulikana kwa jina la Jab'hat al Nusra. Hospitali hiyo ambayo imejaa dawa na vifaa vilivyotengezwa Israel imegunduliwa katika mkoa wa Quneitra uliokombolewa hivi karibuni kusini mwa Syria.
-
Marekani yaendelea kukiuka haki ya kujitawala Syria, yataka kujenga uwanja wake wa kijeshi
Aug 16, 2018 13:17Habari kutoka Syria zimeripoti kwamba, askari vamizi wa Marekani wanakusudia kujenga uwanja wao wa kijeshi katika eneo la al-Shaddadi la jimbo la Al-Hasakah nchini humo.
-
Makamanda wa makundi ya kigaidi nchini Syria wakimbilia upande wa jeshi la Israel
Jul 24, 2018 03:23Sambamba na jeshi la Syria kuimarisha mzingiro dhidi ya makundi ya kigaidi kusini mwa nchi hiyo, makamanda wa makundi hayo na kupitia taa ya kijani ya utawala wa Kizayuni, wamekimbilia upande wa jeshi la Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.