-
Mgawanyiko katika jeshi la Israel huku mashambulio dhidi ya Gaza yakiendelea
Apr 11, 2025 02:03Kundi la askari wa akiba wa jeshi la anga la Israel limefukuzwa kazi baada ya kutia saini waraka wa kutaka kusitishwa vita dhidi ya Gaza na kurejeshwa kwa mateka wa utawala huo haramu.
-
Waisraeli waandamana kupinga kuanza tena vita vya Gaza
Apr 08, 2025 06:41Maelfu ya waandamanaji wamejitokeza katika mitaa ya Tel Aviv kushiriki katika maandamano mapya ya kupinga serikali ya utawala haramu wa Israel, wakati ambapo Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu alipokutana na Rais wa Marekani, Donald Trump mjini Washington.
-
Waingereza 10 wakabiliwa na tuhuma za jinai za kivita Gaza
Apr 07, 2025 11:35Kundi mashuhuri la mawakili wa haki za binadamu wa Uingereza linatazamiwa kuwasilisha malalamiko ya jinai za kivita dhidi ya Waingereza kumi waliokuwa sehemu ya wanajeshi wa Israel waliofanya mashambulizi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Jumamosi, tarehe 5 Aprili 2025
Apr 05, 2025 02:39Leo ni Jumamosi tarehe 6 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili 5 mwaka 2025.
-
Israel yashambulia nyumba ya makazi ya raia huko Gaza na kuuwa shahidi watu 15
Apr 03, 2025 11:37Idadi nyingine ya Wapalestina wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya leo asubuhi utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Baraza la Haki la UN lalaani mauaji mapya ya kimbari Gaza
Apr 03, 2025 07:04Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kulaani mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Uingereza: Ghaza ndio mahali hatari zaidi duniani kwa wahudumu wa misaada ya kibinadamu
Apr 02, 2025 10:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy amezungumzia hali ya hatari inayowakabili wafanyakazi wa misaada katika Ukanda wa Ghaza na kukiri kuwa eneo hilo la ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu ni "mahali hatari zaidi duniani" kwa watoaji misaada ya kibinadamu.
-
Wapalestina 11 wauawa shahidi katika mashambulizi ya leo ya jeshi la Israel
Apr 02, 2025 06:58Duru za kitiba zimetangaza kuwa Wapalestina 11 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza mapema leo.
-
Watoto zaidi ya 300 wameuawa katika mashambulizi mapya ya Israel Gaza
Apr 01, 2025 10:38Mamia ya watoto wa Kipalestina wameuawa shahidi tangu utawala wa Kizayuni wa Israel uanze tena operesheni za kijeshi katika Ukanda wa Gaza.
-
ICRC: Tumeshtushwa na jinsi Israel inavyofanya jinai bila ya kiwewe
Apr 01, 2025 02:48Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu (ICRC) limesema kuwa, limeshtushwa na jinsi utawala wa Kizayuni wa Israel unavyofanya jinai za kutisha huko Ghaza bila ya hofu wala kiwewe.