-
Kiongozi Muadhamu: Iran itaweka “kanuni mpya za kisheria” katika Mlango wa Bahari wa Hormuz
Apr 30, 2026 13:59Ayatullah Seyyed Mojtaba Khamenei, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ametangaza mwanzo wa “sura mpya” kwa Mlango Bahari wa Hormuz, njia ya kimkakati ya baharini.
-
Uharamia wa Marekani utakabiliwa na majibu makali Iran ambayo hayajawahi kuonekana
Apr 30, 2026 08:06Uharamia na ujangili wa baharini unaoendelezwa na Marekani utapata majibu ya Iran ambayo yatakuwa ya 'kivitendo na ya kipekee.
-
Mkuu wa Mahakama ya Iran asema: Tabas itakaririwa katika Ghuba ya Uajemi/ atoa indhari kuhusu kushindwa Marekani
Apr 25, 2026 11:47Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran ametahadharisha kuwa Washington haina uwezo wa kuweka mzingiro wa kijeshi wa majini dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, na kuapa kuwa kushindwa kihistoria wanajeshi wa Marekani huko Tabas na Isfahan kutarudiwa katika maji ya Ghuba ya Uajemi.
-
Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lakaribisha mazungumzo ya Iran na Marekani
Feb 07, 2026 08:25Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi limetangaza kuwa, limekaribisha kwa mikono miwili mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani yaliyofanyika Muscat Oman.
-
Kwa nini Iran inaamini kuwa uwepo wa wanajeshi wa nchi ajinabi katika Ghuba ya Uajemi unazidisha mivutano?
Feb 02, 2026 09:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa uwepo wa wanajeshi wa nchi ajinabi katika kanda hii siku zote huwa sababu ya kushatadi mivutano.
-
Je, Trump anajaribu kufidia udhalilishaji wa kihistoria iliofanyiwa Marekani 2016 na Iran?
Jan 19, 2026 22:38Tarehe 12 Januari (Dei 22) ni ukumbusho wa siku ambayo wanajeshi wa Marekani walitekwa na majeshi ya Iran katika Ghuba ya Uajemi.
-
Iran kuishtaki "Google" kwa kupotosha jina la "Ghuba ya Uajemi"
May 15, 2025 00:35Kituo cha Kitaifa cha Anga za Juu cha Iran kimesema kitachukua hatua za kisheria dhidi ya kampuni ya Google ya Marekani na majukwaa mengine ya kimataifa kutokana na kupotoshwa kwa jina la kihistoria la Ghuba ya Uajemi.
-
Malengo ya safari ya Trump katika nchi tatu za Kiarabu
May 14, 2025 08:35Rais Donald Trump wa Marekani alianza safari ya siku tatu katika nchi tatu za kusini mwa Ghuba ya Uajemi, Saudi Arabia, Imarati (UAE) na Qatar kuanzia Jumanne, Mei 13.
-
Iran: White House haiwezi kubadilisha ukweli kuhusu Jina la Ghuba ya Uajemi
May 08, 2025 07:36Ujumbe wa Iran katika Umoja wa Mataifa umelaani vikali jaribio lolote linaloweza kufanywa na Marekani kwa ajili ya kubadilisha jina la Ghuba ya Uajemi, na kusisitiza kwamba ukweli wa kihistoria hauwezi kubadilishwa kwa maamuzi ya kisiasa.
-
Iravani: Iran ni mmiliki wa visiwa vitatu katika maji ya Ghuba ya Uajemi
Apr 22, 2025 03:38Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha madai ya Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi kwamba Iran inaingilia mamlaka ya visiwa vya Boumousi, Tunb Kubwa na Tunb Ndogo katika Ghuba ya Uajemi na kuyataja kuwa ni ukiukaji wa wazi wa kanuni na sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.