Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghuba ya Uajemi

  • IRGC: Iran itatoa jibu la aina yake kwa hatua yoyote ghalati ya Marekani katika eneo

    IRGC: Iran itatoa jibu la aina yake kwa hatua yoyote ghalati ya Marekani katika eneo

    Aug 08, 2023 04:16

    Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) ameitahadharisha Marekani dhidi ya kuchukua hatua yoyote ghalati na ya uharibifu katika eneo la Asia Magharibi, ikiwemo kutwaa meli zinazopita katika maji ya eneo hili.

  • "Hakuna mfungamano baina ya Marekani na usalama wa Ghuba ya Uajemi"

    Aug 06, 2023 03:52

    Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Iran amesema usalama wa eneo la Ghuba ya Uajemi, Bahari ya Oman na Bahari Hindi hauna mfungamano wowote na Marekani.

  • Admeri Tangsiri: Mafuta yaliyoko Ghuba ya Uajemi ni ya Iran, majirani zake

    Admeri Tangsiri: Mafuta yaliyoko Ghuba ya Uajemi ni ya Iran, majirani zake

    Jul 02, 2023 23:20

    Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema mafuta yaliyoko katika eneo la Ghuba ya Uajemi ni milki ya Iran na majirani zake katika eneo hili la kistratajia.

  • US yahamakishwa na muungano wa baharini wa Iran, Saudia, nchi za Ghuba ya Uajemi

    US yahamakishwa na muungano wa baharini wa Iran, Saudia, nchi za Ghuba ya Uajemi

    Jun 04, 2023 23:05

    Jeshi la Baharini la Marekani limetiwa kiwewe na tangazo la Iran la kutaka kuundwa muungano wa vikosi vya baharini vya Jamhuri ya Kiislamu, Saudi Arabia na nchi nyingine za Ghuba ya Uajemi.

  • Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la IRGC: Hakuna haja ya kuwepo nchi ajinabi katika Ghuba ya Uajemi

    Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la IRGC: Hakuna haja ya kuwepo nchi ajinabi katika Ghuba ya Uajemi

    May 26, 2023 03:33

    Kamanda wa kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: Iran na nchi za eneo ni wadhamini wa usalama wa Ghuba ya Uajemi na hakuna haja ya kuwepo nchi ajinabi katika eneo hili.

  • Kamanda Tangsiri: Usalama endelevu wa Ghuba ya Uajemi ni matokeo ya juhudi za Iran

    Kamanda Tangsiri: Usalama endelevu wa Ghuba ya Uajemi ni matokeo ya juhudi za Iran

    Apr 29, 2023 22:39

    Kamanda wa kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameeleza kuwa: Usalama endelevu wa eneo la Ghuba ya Uajemi ni matokeo ya juhudi za Iran na kwamba hakuna nchi itakayoruhusiwa kudhuru usalama na maliasili za eneo hilo.

  • "Ramani ya mfumo mpya wa ulimwengu"; sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kufeli sera za Marekani Asia Magharibi

    Apr 18, 2023 09:17

    Tarehe 5 Aprili Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika kikao chake na viongozi na maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • GCC: Mapatano ya Saudia, Iran kuhitimisha migogoro katika eneo

    GCC: Mapatano ya Saudia, Iran kuhitimisha migogoro katika eneo

    Mar 23, 2023 07:41

    Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC) limepongeza makubaliano ya hivi karibuni kati ya Iran na Saudi Arabia ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia uliokuwa umevunjika kwa kipindi cha miaka saba.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Visiwa vitatu vitabaki kuwa vya Iran milele

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Visiwa vitatu vitabaki kuwa vya Iran milele

    Jan 13, 2023 08:08

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, visiwa vitatu vitabaki kuwa vya Iran milele na hakuna mtu yeyote aliye na dhamira ya kuingiza mkono wake humo, kwani hataweza kufanya chochote, kama ambavyo hajaweza kufanya hivyo hadi sasa.

  • Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Kitendo cha Jarida la Ufaransa ni mfano wa wazi wa matamshi ya chuki

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Kitendo cha Jarida la Ufaransa ni mfano wa wazi wa matamshi ya chuki

    Jan 09, 2023 08:15

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekitaja kitendo cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo kuwa ni mfano wa wazi wa matamshi ya chuki na udhalilishaji wa thamani za wengine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS