-
HRW: Donald Trump ni tishio kwa haki za binadamu
Jan 13, 2017 04:40Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuchaguliwa Donald Trump kuwa Rais wa Marekani ni tishio lisilo na mfano kwa haki za binadamu.
-
Iran: Suala la haki za binadamu lisitumiwe kama wenzo
Dec 10, 2016 11:07Tume ya Haki za Binadamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa mwito wa kuacha kutumiwa suala la haki za binadamu na asasi za kimataifa kama wenzo wa kuwadhibiti wengine kifikra, kiutamaduni, kisiasa na kiuchumi.
-
Jumuiya za kutetea haki za binadamu zatahadharisha kuhusu hali ya wanawake Nigeria
Dec 06, 2016 00:07Jumuia mbalimbali za kutetea haki za binadamu zimetahadharisha kuhusu hali mbaya ya wanawake nchini Nigeria.
-
Wasiwasi wa kushadidi jinai za Saudi Arabia nchini Yemen kwa ushiriki wa Marekani
Dec 01, 2016 04:28Mauaji makubwa dhidi ya wananchi wa Yemen yanayofanywa na Saudi Arabia yameibua wimbi kubwa la chuki dhidi ya utawala wa Aal-Saud huku walimwengu wakitaka kuhitimishwa jinai hizo sambamba na kusimamishwa misaada ya silaha kwa utawala wa Riyadh.
-
Uganda yatakiwa kuchunguza mauaji ya Kasese na kumuachia huru mfalme
Nov 30, 2016 11:56Vyombo vya usalama nchini Uganda vimeendelea kushutumiwa kwa mauaji ya watu wa mji wa Kasese katika eneo la Rwenzori, huku vyama vya upinzani vikiitaka serikali ya Kampala kumuachia huru mfalme wa eneo la Rwenzururu ambaye anatuhumiwa kuwaongoza waasi katika makabiliano dhidi ya maafisa usalama.
-
HRW yamtaka rais mteule wa Marekani kuheshimu sheria za kibinadamu
Nov 25, 2016 03:26Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limemtaka rais mteule wa Marekani kuheshimu sheria za kimataifa.
-
HRW yakosoa hali ya haki za binadamu katika nchi za Kiarabu
Nov 23, 2016 23:25Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa ripoti na kulalamikia hali ya haki za binadamu katika nchi za Kiarabu likisema ni ya kutisha.
-
Tanzania mwenyeji wa mkutano wa AU kuhusu demokrasia na haki
Nov 23, 2016 04:46Duru ya tano ya mkutano wa kila mwaka wa Umoja wa Afrika kuhusu Demokrasia, Haki, za Binadamu na Uongozi imeanza hii leo mjini Arusha Tanzania.
-
Hukumu ya miaka 2 jela kwa aliyenajisi mabinti 100 Malawi yakosolewa
Nov 23, 2016 04:38Mashirika ya kutetea haki za binadamu na asasi za kupambana na maambukizi ya virusi vya HIV nchini Malawi zimekosoa vikali hukumu ya kufungwa miaka miwili jela, iliyotolewa na mahakama moja nchini humo, dhidi ya mwathirika wa virusi vya HIV aliyewanajisi mabinti wadogo zaidi 100 kwa madai ya kuwasafisha na kuwafanyia tambiko la kimila na kiutamaduni.
-
UN yatoa wito kwa Saudia iwaachie huru wanaharakati watetezi wa haki za binadamu
Nov 22, 2016 12:55Kamati ya Umoja wa Mataifa inayochunguza utiaji nguvuni kiholela unaofanywa duniani imetoa wito tena wa kuachiwa huru wanaharakati watetezi wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia.