-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusiana na kuongezeka machafuko nchini Burundi
Mar 19, 2016 16:51Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusiana na kuongezeka utumiaji mabavu na vitendo vya utesaji katika nchi ya Burundi.
-
Wafungwa wa kike Marekani walalamikia unyanyasaji wa kingono
Feb 28, 2016 02:26Wafungwa 6 wa kike wanaoshikiliwa katika jela ya mji wa New York nchini Marekani wamewasilisha mashtaka ya kufanyiwa ukatili wa kijinsia na maafisa wa jela hiyo.
-
UN: Kuna ushahidi wa jinai za kivita Libya
Feb 26, 2016 16:16Umoja wa Mataifa umesema wahusika wote katika mgogoro wa Libya wametenda jina za kivita pamoja na ukiukaji mwingine wa haki za binadamu katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
-
EALA yataka kufanyika uchunguzi juu ya ukiukaji wa haki za binadamu Burundi
Feb 07, 2016 13:54Bunge la Afrika Mashariki EALA limeelezea wasi wasi wake juu ya kukithiri visa vya ukiukaji wa haki za binadamu nchini Burundi na kutoa wito wa kufanyika uchunguzi huru kuhusu suala hilo.
-
Zarif aonya dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu Magharibi
Feb 06, 2016 07:58Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameelezea hofu yake kuhusu kuongezeka kwa visa vya ukiukwaji wa haki za binadamu, chuki dhidi ya Uislamu na ubaguzi dhidi ya Waislamu katika nchi za Magharibi.