-
Mkuu wa Kituo cha Haki za Binadamu Bahrain: Hukumu dhidi ya wapinzani ni ulipizaji kisasi
Jan 25, 2018 13:36Mkuu wa Kituo cha Haki za Binadamu cha nchini Bahrain amesema kuwa hukumu zilizotolewa na mahakama dhidi ya wapinzani nchini humo ni za kisiasa na ulipizaji kisasi.
-
Zarif: Uhai na kifo cha baadhi ya nchi zinazopakana Iran unategemea amri ya madola makubwa
Dec 16, 2017 15:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema uhai na kifo cha baadhi ya tawala zinazopakana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unategemea maamuzi ya madola makubwa au Shirika la Kijeshi ya Nchi za Magharibi (NATO), au madola makubwa ya nyuklia.
-
HRW: Polisi wa Kenya waliwabaka wanawake wakati wa uchaguzi
Dec 14, 2017 15:53Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema makumi ya wanawake walibakwa na maafisa wa polisi wakati wa msimu wa uchaguzi mkuu mwaka huu nchini Kenya.
-
UN yaeleza wasiwasi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Libya
Dec 11, 2017 13:43Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ameeleza wasiwasi wake kuhusu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanyika nchini humo.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-11
Oct 31, 2017 13:14Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 11 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Qassemi: Ripoti ya Asma Jahangir imetayarishwa kwa malengo ya kisiasa
Oct 27, 2017 04:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa ripoti iliyotayarishwa na ripota maalumu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kuhusu Iran ni ya kichochezi na haina hadhi wala uhalali.
-
Larijani: Nchi zinazodai kutetea haki za binadamu zina rekodi mbaya katika uwanja huo
Oct 25, 2017 07:26Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Idara ya Mahakama nchini Iran amesema kuwa nchi zinazodai kutetea haki za binadamu ikiwemo Marekani zina faili chafu sana katika uwanja wa haki za binadamu na mikono yao imejaa damu za watu wa eneo la Mashariki ya Kati hususan huko Yemen, Iraq, Bahrain na Syria.
-
Kuwakirimu wazee ni wajibu wetu sote
Oct 07, 2017 12:01Tarehe Mosi Oktoba dunia iliadhimisha Siku ya Wazee Duniani.
-
Utawala wa Kizayuni umekumbwa na wasiwasi kufuatia kuwekwa katika orodha nyeusi ya UN
Sep 28, 2017 14:13Rais wa Utawala wa Kizayuni amebainisha wasiwasi wake kuhusu orodha iliyotayarishwa na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa dhidi ya utawala huo kuhusu nchi zinazokiuka haki za binadamu.
-
Iran: Historia haitasahau jinai zinazofanywa na Saudia huko Yemen
Sep 24, 2017 03:32Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa historia ya dunia haitasahau jinai na uhalifu mkubwa unaofanywa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen.