-
Nigeria yaanza kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na jeshi
Sep 13, 2017 02:33Tume iliyoundwa na serikali ya Nigeria imeanza kuchunguza ukikwaji wa haki za binadamu uliofanywa na jeshi la nchi hiyo.
-
Iran yapinga ripoti ya Asma Jahangir Kuhusu Haki za Binadamu Nchini
Sep 04, 2017 07:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: ''Ripoti mpya ya Asma Jahangir, mkaguzi maalumu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kuhusu Iran, imetolewa kwa malengo machafu ya kisiasa na ya kimapendeleo na hivyo Iran haikubali hata kidogo ripoti hiyo."
-
Burundi yalalamikia ripoti ya hivi karibuni ya Baraza la Haki za Binadamu
Sep 03, 2017 13:53Wananchi wa Burundi wameilalamikia ripoti ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na askari usalama wa nchi hiyo.
-
Mashirika 62 ya haki za binadamu yaishitaki Saudia kwa jinai zake nchini Yemen
Sep 02, 2017 02:31Muungano wa kimataifa wa mashirika ya haki za binadamu yasiyo ya kiserikali yameutaka Umoja wa Mataifa kuunda kamati huru ya kuchunguza jinai za kivita na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa kiimla wa Saudi Arabia nchini Yemen
-
HRW: Vikosi vya Saudia vimeuzingiria kikamilifu mji wa al-Awamiya
Aug 13, 2017 13:46Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW) limefichua kuwa vikosi vya usalama vya utawala wa kifalme wa Aal-Saud vimeuzingira kikamilifu mji wa al-Awamiya, ulioko mashariki mwa Saudi Arabia.
-
Ukosoaji wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali ya haki za binadamu nchini Yemen
Jul 28, 2017 06:57Baada ya miaka miwili na nusu ya mashambulio ya kijeshi ya Saudi Arabia dhidi ya Yemen, hatimaye ujumbe wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa umefanya safari nchini Yemen ili kujionea kwa karibu hali mbaya ya kibinadamu inayotawala nchini humo.
-
Rouhani: Marekani haiwezi kusimamia haki za binadamu na uthabiti duniani
Jul 19, 2017 14:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Marekani kwa kupuuza na kukanyaga makubaliano ya kimataifa iliyoyatia saini yakiwemo makubaliano kati yake na Paris, Cuba, Amerika ya kaskazini na Asia ya Mashariki haiwezi kusimamia haki za binadamu, sheria,amani na usalama duniani.
-
Serikali ya Myanmar yakataa kutoa viza kwa ujumbe wa UN kuchunguza hali ya Waislamu
Jul 13, 2017 08:01Wanaharakati wa haki za binaadamu wametangaza kuwa, serikali ya Myanmar imekataa kutoa viza kwa timu ya wachunguzi wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kwenda kuchunguza hali ya Waislamu wa Rohingya nchini humo.
-
Hali ya haki za binadamu Sudan yazidi kukosolewa
Jul 09, 2017 14:02Duru mbalimbali zinaripoti kuwa, faili la hali ya haki za binadamu na uhuru nchini Sudan limezusha utata mkubwa, na kwamba serikali ya nchi hiyo sasa inaandamwa vikali na jumuiya za kiraia na kimataifa.
-
Mkutano wa kimataifa wa "Marekani, Haki za Binadamu na Ubeberu" waanza Tehran
Jul 02, 2017 08:10Kongamano la Kimataifa la Marekani, Haki za Binadamu na Ubeberu limeanza mapema leo mjini Tehran likihudhuriwa na wataalamu wa hapa nchini na kutoka nje ya nchi nchi.