-
Ukosoaji wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali ya haki za binadamu nchini Yemen
Jul 28, 2017 02:27Baada ya miaka miwili na nusu ya mashambulio ya kijeshi ya Saudi Arabia dhidi ya Yemen, hatimaye ujumbe wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa umefanya safari nchini Yemen ili kujionea kwa karibu hali mbaya ya kibinadamu inayotawala nchini humo.
-
Rouhani: Marekani haiwezi kusimamia haki za binadamu na uthabiti duniani
Jul 19, 2017 10:00Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Marekani kwa kupuuza na kukanyaga makubaliano ya kimataifa iliyoyatia saini yakiwemo makubaliano kati yake na Paris, Cuba, Amerika ya kaskazini na Asia ya Mashariki haiwezi kusimamia haki za binadamu, sheria,amani na usalama duniani.
-
Serikali ya Myanmar yakataa kutoa viza kwa ujumbe wa UN kuchunguza hali ya Waislamu
Jul 13, 2017 03:31Wanaharakati wa haki za binaadamu wametangaza kuwa, serikali ya Myanmar imekataa kutoa viza kwa timu ya wachunguzi wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kwenda kuchunguza hali ya Waislamu wa Rohingya nchini humo.
-
Hali ya haki za binadamu Sudan yazidi kukosolewa
Jul 09, 2017 09:32Duru mbalimbali zinaripoti kuwa, faili la hali ya haki za binadamu na uhuru nchini Sudan limezusha utata mkubwa, na kwamba serikali ya nchi hiyo sasa inaandamwa vikali na jumuiya za kiraia na kimataifa.
-
Mkutano wa kimataifa wa "Marekani, Haki za Binadamu na Ubeberu" waanza Tehran
Jul 02, 2017 03:40Kongamano la Kimataifa la Marekani, Haki za Binadamu na Ubeberu limeanza mapema leo mjini Tehran likihudhuriwa na wataalamu wa hapa nchini na kutoka nje ya nchi nchi.
-
Serikali ya Misri yatuhumiwa kuua raia katika vituo vya jeshi
Jun 24, 2017 00:10Kituo kimoja cha Kiafrika kimeituhumu serikali ya Misri kuwa inaendelea kuwateka nyara, kuwatesa na kuwaua wapinzani wa kisiasa.
-
Qatar yaomba msaada wa Umoja wa Mataifa
Jun 17, 2017 11:03Mkuu wa Kamati ya Taifa ya Haki za Binadamu ya Qatar katika ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi ameuomba umoja huo uingilie kati na kutatua mgogoro ulioanzishwa na Saudia, Imarati, Bahrain na Misri dhidi ya nchi yake.
-
Kituo cha Haki za Binadamu cha Bahrain chakosoa utendaji haribifu wa utawala wa Aal Khalifa
Jun 07, 2017 11:04Kituo cha Haki za Binadamu nchini Bahrain kimekosoa na kulaani utendaji wa utawala wa Kifalme wa nchi hiyo wa Aal Khalifa na kutoa wito wa kusitishwa utendaji huo haribifu.
-
Marekani yatishia kujiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la UN
Jun 05, 2017 22:57Marekani inatazamiwa kutoa ishara leo Jumanne juu ya uwezekano wa kujiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kwa lengo la kuukingia kifua utawala haramu wa Israel.
-
HRW yalaani jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina
Jun 05, 2017 09:52Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa vikali jinai, ukandamizaji, ubaguzi na ukaliwaji wa mabavu wa ardhi za Palestina na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa zaidi ya miongo mitano sasa.