-
Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Binaadamu Ulaya: Haki za binaadamu zilianzia nchini Iran na sio Ulaya
May 27, 2017 23:14Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Binaadamu barani Ulaya amesema kuwa, haki za binaadamu zilianzia nchini Iran hususan mji wa Shiraz (kusini wa nchi) uliokuwa mji mkuu wa utamaduni wa dunia.
-
Rais wa Niger: Zichukuliwe hatua za kukabiliana na ukosefu wa usalama Afrika
May 10, 2017 09:51Rais Mahamadou Issoufou wa Niger ametoa wito wa kuchukuliwa hatua madhubuti kwa ajili ya kukabiliana na ukosefu wa usalama na wakati huo huo kuungwa mkono suala la haki za binadamu barani Afrika.
-
Kufanyika kikao cha Kamisheni ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika
May 10, 2017 07:55Kikao cha sitini cha Kamisheni ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika (ACHPR) kimeanza katika mji mkuu wa Niger, Niamey kwa kuhudhuriwa na wawakilishi zaidi ya 600 kutoka nchi mbalimbali za Afrika na za mabara mengine duniani. Kikao hicho kilianza siku ya Jumatatu ya tarehe 8 Mei na kitaendelea kwa muda wa wiki mbili hadi tarehe 22 mwezi huu.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
May 06, 2017 10:06Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya nne ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
Jinai za ukoo wa Kifalme Bahrain zazidi kulaaniwa
May 01, 2017 03:02Makundi ya haki za binadamu katika kona mbalimbali za dunia yamelaani jinai za ukoo wa Aal Khalifa dhidi ya wafungwa nchini Bahrain na kuutaka utawala huo kandamizi kuacha kuwanyanyasa wafungwa.
-
Ubelgiji yajuta kuipiga kura Saudia kupewa uanachama wa Kamati ya Haki za Wanawake ya UN
Apr 28, 2017 03:07Waziri Mkuu wa Ubelgiji amesema nchi hiyo ya Ulaya inajuta kwa kuiunga mkono Saudi Arabia kupewa uanachama wa Kamati ya Haki za Wanawake ya Umoja wa Mataifa.
-
Kongamano la Kimataifa la Haki za Binadamu lafunguliwa Tehran
Apr 15, 2017 03:01Kongamano la Kimataifa la Kiislamu kuhusu Haki za Binadamu linafanyika hapa nchini Iran katika Chuo Kikuu cha Tehran.
-
Amnesty yasema mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria ni ya jazba
Apr 12, 2017 02:41Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani vikali hatua ya Marekani ya kukishambulia kituo cha kijeshi cha Syria kwa makombora na kusisitiza kuwa 'mashambulizi hayo ya jazba' sio njia mbadala ya kufanyika uchunguzi wa kina juu ya mashambulizi ya silaha za kemikali katika eneo la Khan Sheikhoun.
-
UN yashangazwa na wito wa Trump wa kuwatesa na kuwanyanyasa washukiwa
Apr 07, 2017 02:54Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza kusikitishwa kwake na wito wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kutaka kurejeshwa sheria ya kuwatesa watuhumiwa wa jinai mbalimbali.
-
UN: S/Kusini, AU zakwamisha kubuniwa mahakama ya haki za binadamu
Mar 15, 2017 03:44Umoja wa Mataifa umeilaumu serikali ya Juba na Umoja wa Afrika (AU) kuwa zinakwamisha juhudi za kubuniwa mahakama ya kuwapandisha kizimbani wavunjaji wa haki za binadamu nchini Sudan Kusini.