Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

homa ya manjano

  • Baada ya Ndui ya Nyani, Marburg na Ebola katika nchi kadhaa za Afrika, homa ya Mgunda yathibitishwa Tanzania

    Baada ya Ndui ya Nyani, Marburg na Ebola katika nchi kadhaa za Afrika, homa ya Mgunda yathibitishwa Tanzania

    Jul 18, 2022 06:37

    Wizara ya Afya ya Tanzania imetangaza uwepo wa mlipuko mpya wa ugonjwa wa Homa ya Mgunda unaosababisha wananchi kutoka damu puani na kuishiwa nguvu na hata kufariki dunia.

  • Liberia yatangaza hali ya hatari kutokana na wimbi la homa ya Lassa

    Liberia yatangaza hali ya hatari kutokana na wimbi la homa ya Lassa

    Sep 03, 2019 08:58

    Vyombo vya mamlaka ya masuala ya afya nchini Liiberia vimetangaza hali ya hatari kutokana na mfumuko wa homa ya Lassa ambao hadi sasa umesababisha vifo vya watu wasiopungua 21 nchini humo katika mwaka huu wa 2019.

  • Homa ya Manjano yaua watu 9 nchini Nigeria

    Homa ya Manjano yaua watu 9 nchini Nigeria

    Dec 06, 2018 11:21

    Mripuko wa homa ya manjano nchini Nigeria umesababisha vifo vya watu tisa katika jimbo la Edo kusini mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.

  • Save the Children: Homa ya manjano DRC kusambaa duniani kote

    Save the Children: Homa ya manjano DRC kusambaa duniani kote

    Aug 16, 2016 10:57

    Shirika la kimataifa la Save the Children limeonya kuwa, mripuko wa homa ya manjano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yumkini ukasambaa katika nchi mbali mbali duniani, iwapo Jamii ya Kimataifa itaendelea kupuuza suala la chanjo ya ugonjwa huo.

  • WHO: Maambukizi ya homa ya manjano DRC yaongezeka kwa 38%

    WHO: Maambukizi ya homa ya manjano DRC yaongezeka kwa 38%

    Jul 16, 2016 02:16

    Shirika la Afya Duniani WHO lilisema kuwa kesi za maambukizi mapya ya ugonjwa hatari wa homa ya manjano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimeongezeka kwa asilimia 38 katika kipindi cha wiki tatu zilizopita.

  • Dola milioni 1.4 zahitajika kukabili homa ya manjano Angola

    Dola milioni 1.4 zahitajika kukabili homa ya manjano Angola

    Jul 07, 2016 23:48

    Shirika la Msalaba Mwekundu limesema linahitajia dola milioni 1.4 za Marekani ili kukabili maambukizi mapya ya homa ya manjano nchini Angola.

  • Congo yaazimia kupambana na homa ya manjano

    Congo yaazimia kupambana na homa ya manjano

    Jun 28, 2016 09:40

    Waziri wa Afya wa Congo ametangaza azma ya nchi yake ya kupambana na kasi ya maambukizi ya homa ya manjano.

  • WHO: Watu zaidi ya 300 waaga dunia kwa homa ya manjano Angola

    WHO: Watu zaidi ya 300 waaga dunia kwa homa ya manjano Angola

    May 27, 2016 10:02

    Mripuko wa homa ya manjano nchini Angola umesababisha vifo vya watu zaidi ya 300 tangu mwezi Disemba mwaka jana, huku kesi za ugonjwa huo zikienea hadi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kenya na hata Uchina.

  • Wataalamu wa tiba watahadharisha juu ya mripuko wa ugonjwa hatari wa Homa ya Manjano

    Wataalamu wa tiba watahadharisha juu ya mripuko wa ugonjwa hatari wa Homa ya Manjano

    May 10, 2016 23:47

    Wataalamu wa tiba wametahadharisha kuwa dunia iko katika hali ya dharura kutokana na mripuko wa ugonjwa hatari wa Homa ya Manjano.

  • WHO: Chanjo ya homa ya manjano ni sharti kwa waendao Angola

    WHO: Chanjo ya homa ya manjano ni sharti kwa waendao Angola

    Apr 26, 2016 23:03

    Shirika la Afya Duniani WHO limesema wasafiri wote wanaoenda nchini Angola wanahitaji kupata chanjo ya homa ya manjano ili kuthibitisha wamejikinga na kuzuia kuisambaza zaidi.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS