Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Idul Fitri

  • Rais wa Iran: Waislamu wanapaswa kuwa na mchango athirifu katika kukabiliana na watendajinai duniani

    Rais wa Iran: Waislamu wanapaswa kuwa na mchango athirifu katika kukabiliana na watendajinai duniani

    Apr 01, 2025 15:18

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na viongozi wa nchi mbalimbali, akiwapongeza kwa mnasaba wa kusherehekea sikukuu ya Idul-Fitr. Amesisitiza ulazima wa kuimarishwa zaidi umoja na uhusiano wa kindugu baina ya nchi za Waislamu na ulazima wa kuzima njama za maadui.

  • Rais wa Iran: Mwelekeo wa mazungumzo unategemea mwenendo wa Wamarekani

    Rais wa Iran: Mwelekeo wa mazungumzo unategemea mwenendo wa Wamarekani

    Mar 31, 2025 02:41

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran haijawahi kukwepa mazungumzo, lakini ni aina ya mwenendo wa Wamarekani ndio unaoamua ikiwa mazungumzo yataendelea au la.

  • Jumatatu, tarehe 31 machi, 2025

    Jumatatu, tarehe 31 machi, 2025

    Mar 31, 2025 02:38

    Leo ni tarehe Mosi Shawwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 31 Machi 2025.

  • Ujumbe wa HAMAS wa Sikukuu ya Idul Fitr

    Ujumbe wa HAMAS wa Sikukuu ya Idul Fitr

    Mar 30, 2025 11:11

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa ujumbe wa Sikukuu ya Idul Fitr kwa kuyataka mataifa ya Kiislamu na Kiarabu kuongeza juhudi na uungaji mkono kwa Wapalestina ili kukomesha jinai za Israel na kuondolewa mzingiro kwenye Ukanda wa Ghaza.

  • Jumatano, tarehe 10 Aprili, 2024

    Jumatano, tarehe 10 Aprili, 2024

    Apr 10, 2024 03:38

    Leo ni tarehe Mosi Shawwal 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 10 Aprili 2024.

  • Rais wa Iran awatumia Waislamu salamu za pongezi kwa mnasaba wa  Sikukuu ya Idul-Fitr

    Rais wa Iran awatumia Waislamu salamu za pongezi kwa mnasaba wa Sikukuu ya Idul-Fitr

    Apr 22, 2023 02:31

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za kheri na fanaka kwa Waislamu kwa mnasaba wa kuwadia siku kuu ya Idul Fitr ambayo ni siku ya kurejea katika Fitra na ni wakati wa fahari na furaha kwa waliofunga katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na waja wema wa Mwenyezi Mungu.

  • Jumamosi, 22 Aprili, 2023

    Jumamosi, 22 Aprili, 2023

    Apr 22, 2023 01:34

    Leo ni Jumamosi tarehe Mosi Mfunguo Mosi Shawwal 1444 Hijria sawa na tarehe 22 Aprili 2023 Miladia.

  • Qatar na Iran zasisitiza uhusiano wa pande mbili na kuiunga mkono Palestina

    Qatar na Iran zasisitiza uhusiano wa pande mbili na kuiunga mkono Palestina

    Apr 21, 2023 11:17

    Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuimarisha zaidi uhusiano na majirani ni katikia sera za kigeni za Tehran zinazopewa kipaumbele.

  • Ujumbe wa Idi wa makundi ya muqawama: Mapambano dhidi ya mabeberu yataendelea

    Ujumbe wa Idi wa makundi ya muqawama: Mapambano dhidi ya mabeberu yataendelea

    May 04, 2022 02:36

    Brigedi za Hizbullah nchini Iraq zimesema kuwa, zitaendeleza muqawama na kushikamana vilivyo na Uislamu hadi pale ubeberu wa madola ya Magharibi utakapoangamizwa katika nchi za Waislamu.

  • Rais wa Iran asisitiza udharura wa kukabiliana na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina

    Rais wa Iran asisitiza udharura wa kukabiliana na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina

    May 03, 2022 04:44

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja matukio ya karibuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina kuwa yasiyokubalika na kueleza kuwa: Kuna ulazima wa kufanyika juhudi za kusitisha mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina kupitia msaada wa nchi za Kiislamu na jitihada za kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS