-
Jumamosi, 28 Agosti, 2021
Aug 28, 2021 02:35Leo ni Jumamosi tarehe 19 Mfunguo Nne Muharram 1443 Hijria sawa na tarehe 28 Agosti 2021 Miladia.
-
Jumatatu tarehe 22 Februari 2021
Feb 22, 2021 02:30Leo ni Jumatatu tarehe 10 Rajab 1442 Hijria sawa na tarehe 22 Februari 2021.
-
Ijumaa tarehe 28 Agosti mwaka 2020
Aug 28, 2020 02:23Leo ni Ijumaa tarehe 8 Mfunguo Nne Muharram 1442 Hijria sawa na Agosti 28 mwaka 2020.
-
Sheikh Maulid Hussein Kundya na kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Husain AS - Sauti
Oct 21, 2019 12:11Mwaka huu kama ilivyo miaka mingine yote, kumbukumbu za Arubaini ya Imam Husain AS zimefanyika kwa kufana mno katika kona zote za dunia. Hapa tumekuwekea mawaidha ya Sheikh Maulid Hussein Kundya wa Arusha Tanzania kuhusu masaibu wa Imam Husain AS huko Karbala katika mwaka wa 61 Hijria.
-
Kujibu upotoshaji wa BBC, Arubaini ya Imam Husain AS si kueneza ukahaba + Sauti
Oct 17, 2019 11:30Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuhu. Wapenzi wasikilizaji, neno mashaya hivi sasa limeingia katika msamiati wa kidini na kupata nguvu hasa kati ya jamii ya Waislamu ya wapenzi na maashiki wakubwa wa Ahlul Bayt wa Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Ripoti ya upotoshaji ya BBC kuhusu matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS yakosolewa vikali + Sauti
Oct 10, 2019 15:36Baada ya shirika la utangazaji la utawala wa kifalme wa Uingereza BBC kusambaza mkanda wa video uliojaa chuki na upotoshaji dhidi ya Waislamu hasa wa Kishia na dhidi ya matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS, banda hilo la propaganda la ufalme wa Uingereza limekumbwa na ukosoaji mkali. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam Tanzania
-
Marasimu ya Kimataifa ya "Watoto Wanaonyonya wa Hussein" yafanyika katika nchi zaidi ya 40
Sep 06, 2019 08:13Marasimu ya Kimataifa kwa jina la "Watoto Wachanga Wanaonyonya wa Hussein a.s" yamefanyika leo Ijumaa katika zaidi ya maeneo elfu sita katika Iran ya Kiislamu na katika nchi 45 duniani sambamba na Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram.
-
Mguso wa nyoyo katika maombolezo ya Husain AS
Sep 02, 2019 09:51Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika makala hii maalumu tuliyokuandalieni kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Muharram. Makala yetu imebeba kichwa cha maneno kisemacho, Mguso wa Nyoyo katika Maombolezo ya Imam Husain AS. Ni matumaini yetu mtakuwa nasi hadi mwisho wa makala hii.
-
Imam Husain (AS) Nyota ya Fadhila (Kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Husain AS)
Apr 09, 2019 09:55Tarehe 3 Shaaban ni siku ambayo mji wa Madina ulishuhudia kuzaliwa mtoto mwingine katika nyumba ya Bibi Fatimatuz Zahra SA binti mpenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW. Huyo alikuwa ni mtoto wa pili kuzaliwa katika familia hiyo ambayo Mtume Muhammad SAW alikuwa siku zote akiwaita watu wa familia hiyo kuwa ni Ahlul Bayt wake na daima akiwaombea dua za kheri na amani. Katika Qur'ani Tukufu pia kuna aya inayotaja ubora, utukufu na usafi wa watu wa nyumba hiyo.
-
Arubaini ya Imam Husain AS, nembo ya umoja baina ya Iran na Iraq
Oct 26, 2018 13:38Maandamano ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Husain AS na wajibu wa kuimarishwa kadiri inavyowezekana uhusiano wa Tehran na Baghdad ndiyo ajenda kuu ya mazungumzo ya simu yaliyofanywa baina ya mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Iraq.