-
Ijumaa tarehe 20 Aprili 2018
Apr 19, 2018 21:08Leo ni ijumaa tarehe 3 Shaaban 1439 Hijria sawa na tarehe 20 Aprili mwaka 2018.
-
Harakati ya Mapambano ya Imam Hussein, Makutano ya Akili na Kuashiki
Nov 07, 2017 08:25Harakati ya mapambano ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) hapo mwaka 61 Hijria dhidi ya dhulma na ufisadi wa Bani Umayya ilijaa hamasa, kujitolea na kusabilia kila kitu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, haki na uadilifu, na kwa sababu hiyo imegusa sana nyoyo za Waislamu na hata wapenda haki na kweli wasio Waislamu na kuzusha vuguvugu na hamasa ya aina yake ndani ya nafsi za wapenzi wa mtukufu huyo.
-
Arubaini; kukamilika Ashura
Nov 06, 2017 06:56Arubaini ni siku ya kufikia ukamilifu. Ukamilifu wa Ashura ni Arubaini; ukamilifu wa matendo, harakati na juhudi zote. Karbala katika Siku ya Arubaini huwa ni kioo cha waliofikia kilele cha umaanawi kiasi kwamba ulegevu, uzembe, udhaifu na kurejea nyuma huwa havina nafasi tena katika hali hiyo.
-
Imam Hussein, Nguzo ya Umoja na Mshikamano wa Kiislamu
Oct 31, 2017 07:10Zimebakia siku chache tu hadi siku ya Arubaini ya Imam Hussein (as) na barabara zote za kuelekea katika mji wa Karbala nchini Iraq zimefurika watu kama mto wa maji unaoelekea katika mji mtakatifu wa Karbala.
-
Kulia Katika Maombolezo ya Imam Hussein (AS): Unyenyekevu wa Moyo na Mapenzi ya Nafsi
Oct 01, 2017 23:00Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji, warahmatullahi wabarakatuh. Kwa kuwadia mwezi wa Muharram, kwa mara nyengine nyoyo za waliokomboka kifikra duniani zinajielekeza kwa Imam Hussein (as) huku macho yao yakibubujikwa na machozi kwa kulikumbuka tukio la Karbala. Ni miaka 1372 imepita tangu lilipojiri tukio hilo, lakini unapowadia mwezi wa Muharram kila mwaka, Waislamu huendelea kujumuika pamoja na kushiriki kwenye majlisi za kumuomboleza Hussein Ibn Ali (as) na wafuasi wake.
-
Leo ni siku ya Ashura, Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran inatoa mkono wa pole kwa wapenzi wote wa Mtume Muhammad SAW
Oct 01, 2017 00:31Jumapili ya leo inasadifiana na mwezi 10 Muharram 1439 Hijria, siku ya kukumbuka wakati damu ilipoushinda upanga kwa ushujaa wa Imam Husain AS na wafuasi wake wachache katika jangwa la Karbla la Iraq ya leo.
-
Waislamu wa madhehebu ya Shia leo wanaadhimisha siku ya Tasu'a
Sep 30, 2017 13:13Waislamu wa madhehebu ya Shia na wapenzi wa watu wa familia ya Mtume Muhammad (saw) kote duniani leo wanaadhimisha siku ya Tusu'a kabla ya siku ya Ashura aliyouawa shahidi ndani yake mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as).
-
Ijumaa tarehe 29 Septemba, 2017
Sep 28, 2017 23:10Leo ni Ijumaa tarehe 8 Muharram 1439 Hijria, sawa na tarehe 29 Septemba, 2017.
-
Al-Kaaba na Imam Hussein (as)
Sep 24, 2017 08:59Kaaba ni jina kongwe, tukufu na linalovutia zaidi la nyumba ya ibada ya Mwenyezi Mungu ambayo inapatikana katika mji mtakatifu wa Makka na katika ardhi ya Hijaz.
-
Jumamosi, Septemba 23, 2017
Sep 22, 2017 23:03Leo ni Jumamosi tarehe Pili Mfunguo Nne Muharram 1439 Hijria mwafaka na tarehe 23 Septemba 2017 Miladia.