-
Magaidi washambulia Bunge la Iran na Haram ya Imam Khomeini
Jun 07, 2017 03:18Watu wawili akiwemo afisa wa usalama wameripotiwa kuuawa huku watu wengine wanane wakijeruhiwa baada ya watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia majengo ya Bunge la Iran na Haram ya Imam Khomeini MA, katika mji mkuu Tehran.
-
Nyendo za Mtume SAW katika maisha ya Imam Khomeini MA
Jun 05, 2017 04:57Assalaam Alaykum wasikilizaji wapenzi, karibuni kujiunga nami kwenye kipindi hiki maalumu ambacho kimetayarishwa kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kufariki dunia Imam Ruhullah Mussawi al Khomeini (MA) mwasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. Ni matumaini yangu kuwa mtakuwa nami hadi tamati ya kipindi hiki, karibuni.
-
Leo ni Khordad 15, siku ya kuadhimisha harakati ya kihistoria ya Imam Khomeini MA
Jun 04, 2017 23:55Jumatatu ya leo inasadifiana na tarehe 15 Khordad kwa kalenda ya Kiirani ya Hijria Shamsia, ni siku ya kukumbuka na kuadhimisha harakati ya kihistoria ya Imam Khomeini MA ya tarehe 5 Juni, 1963 Milaadia.
-
Rouhani asisitizia udharura wa kufuatwa njia na malengo ya Imam Khomeini
Jun 04, 2017 03:32Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito kwa watu wa matabaka yote kujifunza kuhusu malengo, azma na maono ya Imam Ruhullah Khomeini MA, muasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Hauli ya Imam Khomeini (MA) kufanyika kesho; Kiongozi Muadhamu atahutubia waombolezaji
Jun 03, 2017 10:41Hauli ya mwaka wa 28 tangu alipoaga dunia mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini (MA) itafanyika kesho kwenye haram ya kiongozi huyo ambapo Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei anatazamiwa kuhutubia umma wa wananchi watakaohudhuria hauli hiyo.
-
Wananchi wa Iran na wapigania haki duniani, leo wanaomboleza kifo cha Imam Khomeini
Jun 03, 2017 23:05Wairani na wapigania uhuru na haki kote duniani, leo wanaomboleza kifo cha Imam Ruhullah Khomeini MA muasisi na muanzilishaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ijumaa tarehe 5 Mei, 2017
May 05, 2017 01:36Leo Ijumaa tarehe 8 Shaaban 1438 Hijria sawa na 5 Mei, 2017.
-
Jumapili 19 Machi
Mar 19, 2017 03:34Leo ni Jumapili tarehe 20 Jamadu th-Thani 1438 Hijria mwafaka na tarehe 19 Machi 2017 Miladia.
-
Ayatullah Javadi Amoli: Marekani itasambaratika kama ulivyosambaratika Umoja wa Kisovieti
Feb 27, 2017 04:13Ayatullah Abdullah Javadi Amoli, mwanazuoni mkubwa na Marjaa Taqlidi wa mjini Qum Iran amesema kuwa, Marekani itasambaratika kama ulivyosambaratika Umoja wa Kisovieti.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Mtazamo wa Wanafikra wa Kimagharibi-3
Feb 15, 2017 02:42Moja kati ya matukio makubwa ya dunia ya sasa hususan katika karne moja iliyopita ni Mapinduzi ya Kiislamu ya wananchi wa Iran.