-
Ijumaa, 27 Januari, 2017
Jan 26, 2017 23:18Leo ni Ijumaa tarehe 28 Rabiuthani 1438 Hijria sawa na tarehe 27 mwezi Januari mwaka 2017.
-
Ijumaa, 6 Januari, 2017
Jan 06, 2017 04:20Leo ni Ijumaa tarehe 7 Rabiuthani 1438 Hijria sawa 6 Januari 2017.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na Fikra ya Umoja wa Kiislamu
Dec 12, 2016 07:13Assalamu Alaykum Wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami tena katika sehemu nyingine ya makala hizo zinazokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume Muhammad (saw). Kipindi chetu leo kitazungumzia Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na fikra ya umoja baina ya Waislamu.
-
Jumatatu, 28 Novemba, 2016
Nov 28, 2016 09:40Leo ni Jumatatu tarehe 28 Safar 1438 Hijria sawa na Novemba 28, 2016.
-
Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa
Nov 09, 2016 07:57Tarehe 13 mwezi Aaban mwaka wa Hijria Shamsia ambayo mwaka huu inasadifiana na tarehe 3 Novemba, inatambuliwa hapa nchini Iran kama Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa.
-
Jumatatu, Oktoba 13, 2016
Oct 03, 2016 04:50Leo ni Jumatatu tarehe Mosi Muharram 1438 Hijria sawa na Oktoba 3, 2016.
-
Ijumaa 23 Septemba, 2016
Sep 23, 2016 02:52Leo ni Ijumaa tarehe 21 Dhulhija 1437 Hijria sawa na Septemba 23, 2016.
-
Watalii wa kigeni waongezeka sana nchini Iran
Jul 14, 2016 23:42Zaidi ya watalii 50 elfu wa kigeni wametembelea mkoa wa Isfahan wa katikati mwa Iran katika kipindi cha miezi minne iliyopita.
-
Sauti ya ukombozi wa Quds kusikika leo katika Siku ya Kimataifa ya Quds
Jun 30, 2016 22:14Taifa la Iran na mataifa mengine ya Waislamu leo Ijumaa sambamba na maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds, yatapaza tena sauti ya kupigania ukombozi wa Quds tukufu na kutangaza hasira zao dhidi ya utawala ghasibu wa Israel kwa kushiriki kwa wingi katika maandamano ya siku hii.
-
Dafina za Imam Khomeini kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Jun 04, 2016 00:04Leo Ijumaa, taifa zima la Iran na wapenzi na wafuasi wa njia na fikra za Imam Khomeini MA wameshiriki kwa namna moja au nyinginekatika kumbukumbu za mwaka wa 27 wa kuomboleza siku alipofariki duniani mwanachuoni na shakhsia huyo mkubwa.