Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Imarati

  • Maandamano ya kupinga vita yafanyika mbele ya balozi za Imarati katika nchi za Ulaya

    Maandamano ya kupinga vita yafanyika mbele ya balozi za Imarati katika nchi za Ulaya

    Dec 03, 2019 04:09

    Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wamefanya maandamano hadi mbele ya balozi za Umoja wa Falme za Kiarabu katika nchi kadhaa za Ulaya.

  • Shehena ya silaha kutoka Imarati yawasili nchini Libya

    Shehena ya silaha kutoka Imarati yawasili nchini Libya

    Nov 29, 2019 07:48

    Duru za habari nchini Misri zimeelezea kuwasili nchini Libya shehena ya silaha kutoka Imarati.

  • UN: Imarati, Sudan na Jordan ziliwapa wapiganaji wa Haftar silaha

    UN: Imarati, Sudan na Jordan ziliwapa wapiganaji wa Haftar silaha

    Nov 10, 2019 04:01

    Rasimu ya ripoti ya Umoja wa Mataifa imefichua kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu, Sudan na Jordan zimekiuka vikwazo vya silaha vya umoja huo kwa kulipa silaha kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya linaloongozwa na Jenerali mstaafu Khalifa Haftar.

  • Le Monde lafichua: Imarati ina jela 18 za siri ndani ya ardhi ya Yemen

    Le Monde lafichua: Imarati ina jela 18 za siri ndani ya ardhi ya Yemen

    Nov 09, 2019 23:15

    Gazeti la Le Monde linalochapishwa nchini Ufaransa limefichua kuwa, Imarati ina jela zisizopungua 18 ndani ya ardhi ya Yemen.

  • Imarati yatuhumiwa kuhusika na shambulizi la anga lililoua wahajiri 53 Libya

    Imarati yatuhumiwa kuhusika na shambulizi la anga lililoua wahajiri 53 Libya

    Nov 06, 2019 21:43

    Nyaraka za siri za Umoja wa Mataifa zinaonesha kuwa, ndege ya kivita ya nchi ajinabi ndiyo iliyotekeleza shambulizi la anga lililolenga kituo cha kuwazuilia wahajiri haramu mashariki mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli na kuua makumi miongoni mwao.

  • Pande tatu za Marekani, Israel na Imarati sababu ya kushadidi machafuko Iraq

    Pande tatu za Marekani, Israel na Imarati sababu ya kushadidi machafuko Iraq

    Nov 04, 2019 08:31

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Asa'ib Ahlul Haq ya nchini Iraq amesema kuwa pande tatu za Marekani, Imarati na utawala wa Kizayuni zimeazimia kushadidisha machafuko na mapigano huko Iraq.

  • Al Sarraj ataka kukomeshwa uingiliaji wa nchi ajinabi huko Libya

    Al Sarraj ataka kukomeshwa uingiliaji wa nchi ajinabi huko Libya

    Sep 26, 2019 23:08

    Waziri Mkuu na Mkuu wa baraza la uongozi la serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ametaka kusitishwa uingiliaji wa Imarati, Misri na Ufaransa katika masuala ya ndani ya nchi yake.

  • Safari ya Pompeo nchini Saudia na Imarati; njama za Marekani za kuzusha mizozo Mashariki ya Kati

    Safari ya Pompeo nchini Saudia na Imarati; njama za Marekani za kuzusha mizozo Mashariki ya Kati

    Sep 19, 2019 02:46

    Mashambulio ya ndege zisizo na rubani dhidi ya taasisi za mafuta za Saudi Arabia ambayo yamepelekea kupungua kwa asilimia 50 uzalishaji mafuta wa nchi hiyo ya Kiarabu, yameiibua Marekani na kuifanya itoe radiamali kuhusiana na jambo hilo.

  • Somaliland yasimamisha ujenzi wa kituo cha kijeshi cha Imarati

    Somaliland yasimamisha ujenzi wa kituo cha kijeshi cha Imarati

    Sep 15, 2019 03:13

    Serikali ya eneo lenye utawala wa ndani la Somaliland nchini Somalia limesimamisha ujenzi wa Umoja wa Falme za Kiarabu wa kituo chake cha kijeshi katika bandari ya Berbera.

  • Wanamgambo wa Saudia na Imarati wazidi kutwangana nchini Yemen

    Wanamgambo wa Saudia na Imarati wazidi kutwangana nchini Yemen

    Sep 07, 2019 08:28

    Baada ya wanamgambo wanaofadhiliwa na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kuimarisha nguvu zao na kuudhibiti mkoa wa Aden hasa baada ya ndege za kivita za Imarati kuwashambulia wanamgambo wanaoungwa mkono na Saudi Arabia, ugomvi baina ya wavamizi wa Yemen umezidi kuonekana.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS