-
EU yaishambulia Imarati kwa kuvuruga uthabiti Somalia
Jul 06, 2018 08:57Bunge la Umoja wa Ulaya limezikosoa vikali Umoja wa Falme za Kiarabu na Saudi Arabia kwa kuikatia Somalia misaada kutokana na nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kutangaza msimamo wa kutoegemea upande wowote katika mgogoro kati ya nchi nne za Kiarabu zikiongozwa na Saudia kwa upande mmoja na Qatar kwa upande wa pili.
-
Ansarullah: Madai ya Imarati ya kusimamisha hujuma zake Hudaydah ni urongo
Jul 02, 2018 02:30Harakati ya Ansarullah ya Yemen imekadhibisha madai yaliyotolewa na Umoja wa Falme za Kiarabu kwamba eti imesitisha oparesheni ya kutaka kukalia kwa mabavu mji wa bandari wa al-Hudaydah nchini Yemen.
-
UAE yadai kuwa imesitisha oparesheni ya hujuma ya kijeshi Al Hudaydah, Yemen
Jul 01, 2018 09:22Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE, ambayo ni moja ya nchi katika muungano vamizi unaoongozwa na Saudia Arabia, baada ya kupita mwezi mmoja tokea ianze oparesheni ya kutaka kukalia kwa mabavu mji wa Al Hudaydah wa Yemen na hatimaye kufeli njama hiyo, sasa imetangaza kuwa eti imesitisha oparesheni hiyo kwa kisingizio cha kutoa fursa ya kufanyika mazungumzo ya kisiasa.
-
Qatar yataka Saudia na Imarati zitimuliwe Baraza la Haki za Binaadamu
Jun 23, 2018 09:42Baada ya kupita mwaka mmoja tangu kukatwa mahusiano ya nchi za Kiarabu na Qatar na kadhalika kuiwekea vikwazo na mzingiro wa kila upande nchi hiyo, serikali ya Doha imetaka uanachama wa Saudia na Imarati katika Baraza la Haki za Binaadamu usimamishwe.
-
Associated Press: Imarati imetengeneza "Abu Ghuraib" huko Aden
Jun 20, 2018 22:40Shirika la habari la Associated Press limefichua kashfa mpya ya makamanda wa jeshi la Imarati na mawakili wao dhidi ya mamia ya Wayemen wanaoshikiliwa katika jela ya mji wa Aden huko kusini mwa Yemen.
-
Gazeti la Ufaransa lafichua kuwa, askari wa nchi hiyo wanashirikiana na Imarati kuishambulia Yemen
Jun 16, 2018 21:02Gazeti moja la Ufaransa limefichua kuwa, askari maalumu wa nchi hiyo wamekuwa wakishirikiana na askari wa Imarati katika vita dhidi ya Yemen.
-
Mufti Mkuu wa Libya aishambulia Imarati kwa kuchochea machafuko nchini mwake
Jun 15, 2018 23:34Mufti Mkuu wa Libya, Sheikh Sadiq al Ghariani ameushambulia vikali Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwa kueneza fitna na kuchochea chuki na uhasama katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Kufichuliwa kushiriki maafisa wa kijeshi wa Marekani katika vita vya Saudia dhidi ya Yemen
Jun 14, 2018 05:04Kwa mujibu wa wa jarida la Ufaransa la Intelligence Online, Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE, umewaajiri maafisa wa jeshi la Marekani waliostaafu ili waweze kuwasaidia wanajeshi wake katika vita dhidi ya Yemen. Imedokezwa kuwa, UAE imewaajiri mamluki hao ambao waliwahi kuhudumu katika ngazi mbali mbali katika Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon.
-
Vikosi vya Yemen vyazima mashambulizi ya Saudia al-Hudaydah
Jun 14, 2018 03:38Jeshi la Yemen likishirikiana na vikosi vya kujitolewa vya wananchi limefanikiwa kuzima mashambulizi ya muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia, dhidi ya bandari ya al-Hudaydah ambayo ndilo lango kuu la kuingizia misaada ya kibinadamu kwa raia wanaoendelea kuua ovyo wa Yemen.
-
Watunisia waandamana kupinga njama chafu za Imarati dhidi ya nchi yao
Jun 13, 2018 21:54Raia wa Tunisia wamefanya maandamano wakipinga njama chafu na uingiliaji wa Imarati katika masuala ya ndani ya nchi yao.