-
Qatar yaishtaki Imarati katika mahakama ya haki za binadamu ya UN
Jun 12, 2018 09:20Qatar imewasilisha faili la kesi dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu, katika mahakama ya juu zaidi ya Umoja wa Mataifa, ikiituhumu Abu Dhabi kwamba imekiuka haki za binadamu za wananchi wa Qatar, huku mgogoro wa nchi hizo za Kiarabu ukielekea kutimiza mwaka mmoja.
-
Utajiri wa Imarati (UAE) na Saudia unatumikia malengo ya Wazayuni
Jun 10, 2018 12:19Naibu wa Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu amesema, pesa za Imarati (UAE) na Saudi Arabia zinatumiwa kwenye mipango na njama za utawala ghasibu wa Israel kwa lengo la kununua milki za ardhi na majengo za Wapalestina kandokando ya msikiti wa Al-Aqsa.
-
Misri na Imarati zapinga kufanyika uchaguzi wa Rais na Bunge nchini Libya
Jun 09, 2018 22:19Misri na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zimeelezea kutofurahishwa kwao na maamuzi wa mkutano wa mjini Paris Ufaransa kuhusiana na Libya na kusema kuwa zinapinga uchaguzi wa Rais na Bunge uliopangwa kufanyika nchini humo tarehe 10 Disemba mwaka huu.
-
Ripoti: Saudia na Imarati zinapanga kufanya mapinduzi Bahrain
Jun 09, 2018 03:39Tovuti ya habari ya Middle East Eye imeripoti kuwa, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu zinapanga njama ya kumuondoa mamlakani Waziri Mkuu wa Bahrain, Khalifa bin Salman Aal-Khalifah.
-
Oman yasema haiwezi kuvumilia tena chokochoko za UAE
Jun 08, 2018 20:53Migogoro inazidi kutokota katika Ghuba ya Uajemi baada ya Oman kuuonya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuwa haiwezi kuvumilia tena wizi wa turathi zake za kitaifia na haki za uvumbuzi.
-
Imarati yakiri kwamba lilikuwa kosa kuiondoa Syria Arab League
Jun 07, 2018 02:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Imarati amekiri wazi kwamba maamuzi ya kuiondoa Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) yalikuwa makosa makubwa.
-
Mwaka mmoja wa mgogoro kati ya nchi za Kiarabu
Jun 06, 2018 01:27Umetimia mwaka mmoja tokea uanze mgogoro baina ya nchi za Kiarabu na dalili zote zinaonyesha kuwa mgogoro huo ungali unaendelea bali hata utazidi kupanuka na kuwa mbaya zaidi.
-
Marekani kupanua operesheni zake za kijeshi Yemen kufuatia ombi la Imarati
Jun 04, 2018 09:48Marekani inatathmini ombi la Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) la kuipa msaada wa moja kwa moja kwa ajili ya kufanikisha mashambulizi ya kuiteka bandari ya Hudaydah, ambayo kwa sasa inadhibitiwa na vikosi vya Ansarullah vya Yemen.
-
Jeshi la Yemen: Abu Dhabi ipo ndani ya shabaha ya makombora yetu
Jun 02, 2018 03:22Msemaji wa Jeshi la Yemen ameionya vikali Imarati kuwa mji mkuu wake Abu Dhabi kuanzia sasa hautakuwa salama na upo katika shabaha ya makombora ya nchi hiyo ya Kiarabu, ikiwa ni katika ulipizaji hujuma za muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo maskini.
-
Answarullah: Lengo kuu la Saudia na Imarati ni kuikalia kwa mabavu Yemen
May 28, 2018 00:14Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Answarullah nchini Yemen, Abdul-Malik Badreddin al-Houthi amesema kuwa lengo la Saudia na Imarati katika kuivamia kijeshi Yemen ni kuikalia kwa mabavu nchi hiyo na kwamba nchi hizo kamwe hazina nia yoyote ya kufikia amani.