-
Bunge la Somalia lapinga makubaliano ya Imarati na Somaliland
Mar 13, 2018 04:05Bunge la Federali la Somalia limepiga kura kwa kishindo kupinga makubaliano ya pande tatu kati ya eneo la Somaliland, Umoja wa Falme za Kiarabu na Ethiopia kuhusu bandari ya Berbera, iliyoko katika Ghuba ya Aden.
-
Imarati inatumia pesa zilizozuiwa za Libya kuwaunga mkono wapiganaji wa Haftar
Mar 12, 2018 10:16Makamu wa pili wa Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Libya amesema kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unatumia pesa zilizozuiwa za Libya kuwaunga mkono wapiganaji wa kamanda wa jeshi la taifa la nchi hiyo.
-
Marekani kuwekeana saini mikataba mipya ya silaha na Qatar na Imarati; Doha yaishtaki Abu Dhabi kwa UN
Mar 09, 2018 00:25Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani jana (Alkhamisi) ilisema kuwa karibuni hivi nchi hiyo itatiliana saini mikataba mipya ya silaha na Qatar na Imarati ambayo itakuwa na thamani ya dola milioni 467.
-
Ethiopia yanunua hisa za Bandari ya Berbera Somaliland
Mar 02, 2018 04:21Serikali ya Ethiopia imenunua asilimia 19 ya hisa za Bandari ya Berbera iliyoko katika Jamhuri iliyojitangazia uhuru ya Somaliland nchini Somalia.
-
Mansour Hadi avunja ukimya; aituhumu Imarati kwa kuvuruga uthabiti Yemen
Feb 12, 2018 23:27Rais wa zamani wa Yemen Abdu Rabbuh Mansour Hadi hatimaye amevunja kimya chake na kuituhumu Imarati kuwa inadhoofisha na kuvuruga hali ya uthabiti huko Yemen.
-
Mshindi wa Nobel asema Saudia na Imarati zimeisaliti Yemen
Feb 08, 2018 10:46Tawakkol Karman, mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel wa nchini Yemen amesema Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu zimeisaliti nchi yake kwa kuivamia kijeshi na kuifanya ishuhudie moja ya migogoro mikubwa zaidi duniani.
-
Safari yenye malengo ya uchaguzi ya Rais wa Misri nchini Imarati
Feb 08, 2018 04:23Rais Abdul-Fatah al-Sisi wa Misri Jumanne ya juzi aliwasili Abu Dhabi katika mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) baada ya kukamilisha safari yake ya siku tatu huko Oman.
-
Mkuu wa Kamati ya Masuala ya Katiba Bunge la Somalia asema: Imarati ilipanga kumuua
Feb 03, 2018 23:12Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Katiba ya Mabunge ya Somalia amesema kuwa vyombo vya ujasusi vya Imarati vilihusika na shambulizi lililolenga nyumba yake mjini Mogadishu mwishoni mwa mwezi Disemba na kwamba lengo la shambulizi hilo lilikuwa kumuua yeye.
-
Mshindi wa zawadi ya amani ya Nobel ashangaa kutoshtakiwa Bin Salman na Al Nahyan
Feb 03, 2018 04:50Bi Tawakkol Karman, mshindi wa zawadi ya amani ya Nobel wa nchini Yemen amesisitizia umuhimu wa kushtakiwa kimataifa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme nchini Saudia na Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Abu Dhabi kutokana na jinai zao za mauaji ya umati nchini Yemen.
-
Nchi za Afrika zakasirishwa na uingiliaji kijeshi wa UAE nchini Eritrea na Somalia
Jan 30, 2018 04:16Baadhi ya nchi za Kiafrika zimepinga vikali hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE, kujenga vituo vya kijeshi na kuingilia mambo ya ndani ya Eritrea na Somalia.