-
Wataalamu: Ukoloni wa Uingereza ulisababisha vifo vya mamilioni ya watu nchini India
Dec 28, 2022 04:21Ukoloni wa Uingereza ulikuwa sababu ya vifo vya zaidi ya watu milioni mia moja nchini India.
-
Katika vita vikali vya maneno, Pakistan yamwita waziri mkuu wa India 'Chinjachinja wa Gujarat'
Dec 16, 2022 11:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amemwita waziri mkuu wa India Narednra Modi "Chinjachinja wa Gujarat" baada ya waziri mwenzake wa India kuishutumu Pakistan kuwa "kitovu cha ugaidi" huku majirani hao wenye silaha za nyuklia wakikabiliana kwa vita vya maneno katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York.
-
Lavrov asisitiza kushirikiana na Iran, China, Uturuki na India
Nov 19, 2022 02:30Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana Ijumaa alisisitiza kuwa kuna umuhimu Moscow kushirikiana na Tehran, Beijing, Ankara, New Delhi na nchi nyingine za pambizoni mwa bahari ya Kaspi.
-
Rais wa China: Uhuru wa Taiwan na kupatikana amani havitangamani kama maji na moto
Nov 16, 2022 12:33Rais Xi Jinping wa China amesema Taiwan kuwa nchi huru na kupatikana amani katika Mlango-Bahari wa kisiwa hicho havitangamani kama yalivyo maji na moto.
-
Qatar imewanasa majasusi kadhaa wa Israel raia wa India
Nov 11, 2022 03:09Shirika la Intelijensia la Qatar limewakamata maafisa wanane wa zamani wa Jeshi la Wanamaji wa India nchini Qatar wanaoshukiwa kufanya ujasusi kwa manufaa ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Watu 141 wameaga dunia hadi sasa baada ya daraja kuporomoka huko India
Oct 31, 2022 12:02Shughuli za uokoaji zinaendelea katika mji wa Morbi katika jimbo la Gujarat nchini India ambako watu wasiopungua 141 wameaga dunia hadi sasa baada ya daraja la enzi za ukoloni kuporomoka jana jioni.
-
Wahindi wamwomba Sunak airejeshe India almasi ya Koh-i-Nur iliyoko kwenye taji la malkia wa Uingereza
Oct 26, 2022 12:43Maoni ya kwanza kutolewa na Wahindi watumiaji wa mitandao ya kijamii kwa kuchaguliwa Rishi Sunak kuwa waziri mkuu wa Uingereza ni kumwomba kiongozi huyo mwenye asili ya India airejeshe nchini humo almasi ya Koh-i-Nur iliyoko kwenye taji la malkia wa Uingereza.
-
Safari 10 za ndege za Israel kuelekea India zafutwa baada ya Oman kukataa kutumiwa anga yake
Oct 22, 2022 12:25Duru za habari za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeripoti kuwa, safari zisizopungua 10 za ndege za utawala huo haramu kuelekea India zimefutwa baada ya Oman kukataa kuzipatia ndege hizo kibali cha kupita katika anga yake.
-
Maulamaa wa India wakosoa hatua za serikali ya Modi dhidi ya Waislamu
Oct 16, 2022 02:25Jumuiya ya maulamaa wa Kiislamu wa India imewataka viongozi wa nchi hiyo katika jimbo la Utta Pradesh wakomeshe kile ilichokiita "hatua ya upande mmoja" dhidi ya Waislamu.
-
India yaipiga marufuku harakati mashuhuri ya Kiislamu nchini humo
Sep 29, 2022 12:09India imeipiga marufuku harakati mashuhuri ya Kiislamu nchini humo ya PFI, ikiwa ni muendelezo wa serikali ya New Delhi ya kufuata sera ya kukanyaga na kupuuza haki za Waislamu walio wachache katika nchi hiyo.