-
Ukosoaji wa Waziri Mkuu wa Pakistan kuhusu kuenezwa chuki dhidi ya Waislamu
Sep 26, 2022 03:05Waziri Mkuu wa Pakistan ametaka kukomeshwa mara moja chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu, hasa nchini India.
-
Mahakama ya India yakataa ombi la Waislamu, ubaguzi unaendelea
Sep 15, 2022 02:29Mahakama ya India imekataa ombi la Waislamu la kutupilia mbali shauuri la wanawake wa Kihindu la kutwaa msikiti wao katika mji wa Banaras.
-
Mazoezi makubwa ya kijeshi ya Russia, China, India; ishara ya kufeli Magharibi kuitenga Russia
Sep 03, 2022 04:26Licha ya shinikizo la Marekani kwa nchi nyingine kwa ajili ya kuitenga Russia kutokana na vita vya Ukraine, Moscow imeandaa mazoezi makubwa ya kijeshi ya nchi kavu, anga na baharini kwa kuzishirikisha nchi nyingine 13.
-
Askari wanne wa India wauawa Kashmir inayokaliwa na India
Aug 12, 2022 12:14Askari wanne wa India wameuawa katika eneo la Kashmir linalokaliwa na kudhibitiwa na nchi hiyo.
-
Pakistan: Kauli ya waziri wa ulinzi wa India kuhusu Kashmir ni ya kichochezi
Jul 26, 2022 11:18Wizara ya mambo ya nje ya Pakistan imesema kauli aliyotoa waziri wa ulinzi wa India, kwamba eneo la Kashmir ni milki ya nchi hiyo ni ya kichochezi.
-
Licha ya hukumu ya mahakama, mwandishi Muislamu mkosoaji wa serikali ya India aendelea kusota rumande
Jul 17, 2022 02:14Mohammed Zubair, mwandishi wa habari Muislamu raia wa India, ambaye ni mkosoaji wa waziri mkuu wa nchi hiyo Narendra Modi, ameendelea kuwekwa kizuizini licha ya kutolewa hukumu na mahakama ya kuamuru aachiliwe huru.
-
Kukataa India ombi la Marekani
Jul 16, 2022 08:34India imekataa ombi la Marekani ambayo iliitaka nchi hiyo iziwekee vikwazo meli za Russia.
-
Rais Raisi: Kuna udharura wa kudumishwa sifa maalumu za kihistoria za India
Jul 11, 2022 02:36Rais Ebrahim Raisi amesema, kuna udharura wa kulindwa na kudumishwa sifa maalumu za kihistoria za India, ambayo ni ardhi inayosifika kwa kuheshimu dini mbalimbali.
-
Mahakama ya Juu ya India yamtaka msemaji wa zamani wa chama tawala kuomba radhi kwa kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw)
Jul 02, 2022 07:56Mahakama ya Juu ya India imemtaka msemaji wa zamani wa chama tawala nchini India cha Bharatiya Janata kinachoongozwa na Waziri Mkuu, Narendra Modi, Nupur Sharma, kujitokeza kwenye televisheni na kuomba radhi kwa taifa zima la India, baada ya matamshi yake ya kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw) ambayo yameisababisha maandamano makubwa na kuchochea hali ya mvutano nchini humo.
-
Twitter yaungana na serikali ya India kuwakandamiza Waislamu, yafunga akaunti za watetezi wao
Jun 28, 2022 13:30Waandishi wa habari na wanaharakati wamepinga ongezeko la hatua za serikali ya India ikishirikiana na mtandao wa kijamii wa Twitter za kuwabana watu mashuhuri wanaowatetea Waislamu na kuunga mkono harakati za maandamano yanayopinga ukandamiza wa serikali ya New Delhi dhidi ya wafuasi wa dini hiyo.