Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari ya Rais wa Iran barani Afrika

    Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari ya Rais wa Iran barani Afrika

    Jul 13, 2023 22:44

    Rais Ibrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu jana Alkhamisi aliwasili Harare mji mkuu wa Zimbabwe ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo akiwemo mwenyeji wake, Rais Emerson Mnangagwa.

  • Rais wa Iran awasili Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari yake ya kiduru Afrika

    Rais wa Iran awasili Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari yake ya kiduru Afrika

    Jul 13, 2023 06:31

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewesili Harare mji mkuu wa Zimbabwe kikiwa ni kituo chache cha tatu na cha mwisho katika safari yake hii ya kiduru ya kuzitembelea nchi kadhaa za Kiafrika.

  • Safari ya Rais wa Iran nchini Uganda+VIDEO

    Safari ya Rais wa Iran nchini Uganda+VIDEO

    Jul 13, 2023 07:39

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa dini mbalimbali nchini Uganda akiwemo Mufti Mkuu Sheikh Shaaban Ramadhan Mubaje

  • Rais wa Iran awashambulia Wamagharibi kwa kutetea vitendo vichafu vya ushoga

    Rais wa Iran awashambulia Wamagharibi kwa kutetea vitendo vichafu vya ushoga

    Jul 13, 2023 06:10

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyashambulia madola ya Maagharibi kutokana na hatua yao ya kutetea vitendo vichafu vya ushoga na mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja.

  • Raisi aondoka Kampala kuelekea ziarani Harare

    Raisi aondoka Kampala kuelekea ziarani Harare

    Jul 13, 2023 04:40

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Alhamisi ameondoka Kampala na kuelekea Harake mji mkuu wa Zimbabwe baada ya kukamilisha ziara huko Uganda.

  • Kanani: Visiwa vya Bu Musa, Tombu Ndogo na Tombu Kubwa ni milki ya Iran

    Kanani: Visiwa vya Bu Musa, Tombu Ndogo na Tombu Kubwa ni milki ya Iran

    Jul 11, 2023 23:38

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amepinga taarifa ya pamoja iliyotolewa na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi na Russia kuhusu visiwa vitatu vya Iran vya Bu Musa, Tombu Ndogo na Tombu Kubwa na kusema: Visiwa hivyo vitatu daima vitasalia kuwa milki ya Iran.

  • Kukiri Marekani kwamba hakuna mpango wa nyuklia wa kijeshi unaoendeshwa ndani ya Iran

    Kukiri Marekani kwamba hakuna mpango wa nyuklia wa kijeshi unaoendeshwa ndani ya Iran

    Jul 11, 2023 23:04

    Licha ya madai ya mara kwa mara ya nchi za Magharibi hususan Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwamba Iran inafanya juhudi za kujipatia silaha za nyuklia, taasisi kuu ya intelijensia ya Marekani imeikiri kuwa Iran haijihusishi na uundaji wa silaha za nyuklia.

  • Magazeti ya Afrika Mashariki yaakisi safari ya Rais wa Iran katika nchi za Afrika

    Magazeti ya Afrika Mashariki yaakisi safari ya Rais wa Iran katika nchi za Afrika

    Jul 11, 2023 04:50

    Magazeti na vyombo vingine vya habari vya nchi za Afrika Mashariki vimeakisi kwa mapana safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye leo Jumanne anatazamiwa kuondoka nchini kuelekea barani Afrika kwa ziara ya siku tatu ya kuzitembelea nchi za Kenya, Uganda na Zimbabwe.

  • Helikopta za Iran ndizo zenye uwezo mkubwa zaidi Asia Magharibi

    Helikopta za Iran ndizo zenye uwezo mkubwa zaidi Asia Magharibi

    Jul 09, 2023 07:34

    Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Nchi Kavu la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inamiliki helikopta nyingi zaidi, za kisasa na zenye uwezo mkubwa zaidi katika eneo la Asia Magharibi.

  • Umoja wa Mataifa wataka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Umoja wa Mataifa wataka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Jul 08, 2023 23:08

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Kisiasa, amehutubia kikao cha Baraza la Usalama cha kukagua utekelezwaji wa azimio nambari 2231, na kuelezea kuwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ndio chaguo bora zaidi la kuhakikisha "hali ya amani ya mpango wa nyuklia wa Iran."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS