Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • OIC: Kuimarika uhusiano wa Iran na nchi za eneo ni kwa maslahi ya umma wa Kiislamu

    OIC: Kuimarika uhusiano wa Iran na nchi za eneo ni kwa maslahi ya umma wa Kiislamu

    Sep 23, 2023 04:12

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC amesema kuimarika uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi za eneo la Asia Magharibi kutanufaisha ulimwengu wa Kiislamu.

  • Iran na Djibouti zakubaliana kufufua uhusiano wa kidiplomasia

    Iran na Djibouti zakubaliana kufufua uhusiano wa kidiplomasia

    Sep 23, 2023 00:38

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Djibouti wameafikiana juu ya kuhuisha uhusiano wa kidiplomasia wa Tehran na Asmara, kwa maslahi ya mataifa haya mawili.

  • Waziri wa Ulinzi wa Russia: Uhusiano na Iran 'unafikia kiwango kipya' licha ya vikwazo

    Waziri wa Ulinzi wa Russia: Uhusiano na Iran 'unafikia kiwango kipya' licha ya vikwazo

    Sep 20, 2023 23:24

    Waziri wa Ulinzi wa Russia, Jenerali Sergei Shoigu anasema uhusiano wa nchi hiyo na Iran "unafikia kiwango kipya" kinyume na kampeni ya mashinikizo ya Magharibi inayolenga nchi zote mbili.

  • Raisi: Mradi wa kuufanya ulimwengu uwe wa Kimarekani umefeli

    Raisi: Mradi wa kuufanya ulimwengu uwe wa Kimarekani umefeli

    Sep 19, 2023 23:51

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema mpango wa Marekani wa kuitwisha dunia sera na misimamo yake umefeli na kugonga mwamba.

  • Mabadilishano ya wafungwa na kuendelea misimamo ya Marekani dhidi ya Iran

    Mabadilishano ya wafungwa na kuendelea misimamo ya Marekani dhidi ya Iran

    Sep 19, 2023 23:07

    Kufuatia mafanikio ya kubadilishana wafungwa kati ya Iran na Marekani Jumatatu ya juzi, raia watano wa Iran ambao walifunguliwa mashtaka kinyume cha sheria na vyombo vya mahakama vya Marekani kutokana na shughuli za kawaida za kibiashara waliachiliwa huru.

  • UNESCO yaziweka 'Caravanserai' za kihistoria za Iran kwenye orodha yake ya turathi za dunia

    UNESCO yaziweka 'Caravanserai' za kihistoria za Iran kwenye orodha yake ya turathi za dunia

    Sep 19, 2023 09:47

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeongeza Caravanserai' 54 za kihistoria za Iran katika orodha yake ya maeneo ya turathi za dunia.

  • Uliwengu wa Michezo, Sep 18

    Uliwengu wa Michezo, Sep 18

    Sep 18, 2023 06:50

    Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali za dunia.

  • Kuongezeka mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Tanzania

    Kuongezeka mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Tanzania

    Sep 17, 2023 10:30

    Mkuu wa Kituo cha Biashara cha Iran na Tanzania amesema kuwa, kufanyika maonyesho ya kwanza ya kipekee ya uwezo wa usafirishaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania kuwa jukwaa linalofaa zaidi la kuongeza ufahamu wa bidhaa za Iran katika nchi za Afrika Mashariki.

  • Hilali Nyekundu ya Iran yatuma misaada ya kibinadamu Libya

    Hilali Nyekundu ya Iran yatuma misaada ya kibinadamu Libya

    Sep 17, 2023 01:09

    Mkuu wa Shirika la Hlilali Nyekundu la Iran (IRCS) amesema jumuiya hiyo imetuma tani 40 za misaada ya dharura nchini Libya, kufuatia maafa makubwa ya roho na mali za watu yaliyosababishwa na mafuriko makubwa katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Iran: Tutajibu mapigo ya vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya

    Iran: Tutajibu mapigo ya vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya

    Sep 17, 2023 01:08

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itajibu mapigo kwa hatua ya kujikariri ya Umoja wa Ulaya na Uingereza ya kuendelea kulisakama taifa hili kwa vikwazo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS